Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,083
- 2,607
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Akidai kuwa kama CHADEMA wapo tayari kupambana na Kanuni za Uchaguzi wa 2024 alizoziita ni za Kihuni.
Lema alisema, “Kanuni za kihuni sana, lakini tunakubaliana ndani ya Kamati Kuu kwamba tutapambana. Wizi umewekwa kwenye kanuni za uchaguzi wa 2024. Ukweli ni kwamba hatuwezi kususa uchaguzi kwani watu wana ari ya kupambana na hizo kanuni za kihuni na kushinda uchaguzi.”
Soma, Pia:
• Je, umeziona na kuzisoma Kanuni mpya za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
• Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Mtaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa Katika Mamlaka za Miji za Mwaka 2024
• Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024