Pre GE2025 DSM Godbless Lema: Heche yupo sawa na mwenye afya njema, kesho ataendelea na mikutano

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Aug 15, 2024
576
851
Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano

Screenshot 2025-04-22 222937.png

Soma:

 
Mmebaki wawili tu, pia mnashindwa kukubali ukweli kuwa hapa tunapita tu, tuweke mazingira ya haki hapa na huko twendako, haki huliinua taifa.
 
Back
Top Bottom