Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,784
- 4,794
Wakuu,
Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana
CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mlifanya kwa Kitima ikagoma sasa mmehamia huku? Ila katika hawa wote, Jambo mmeniangusha sana. Mmefikaje huku? Msiniambie hamkujua kama mmetumika, kwamba mmeona ni habari tu ya kawaida ambayo wananchi wanataka kujua!🤔🤔Wale EFM ndio wamejifanya kufuta, wapuuzi kabisa, tuna risiti ya upumbavu wenu.
TBC tunajua nyinyi ni wapuuzi ila hiini too much. Mngeendelea kufanya ule unafiki wenu wa kutorusha matangazo ya wapinzani, ila kwakuwa chawa wote ni wapuuzi mkatembea na script🤦♀️🤦♀️
EATV ukajipambanua eti ukapost watu wa Dar, wenyewe mkaona hapo ndio mmeonesha diversity ila ITV ikafeli, ikarudi kwenye script
... na watu wanaohojiwa hawazidi 5, halafu ukipitia title zinasema wanajamii!
Mnazidi kujiharibia kwenye credibility yenu na ugali wenu! Kinachoshangaza ni kuwa hamjifunzi, maana mwisho huwa ni ule ule, mnatemwa na mmekufa hivyo.
Mwaka huu tutamuona mama hadi kwenye yebo yebo

!