Global Peace Foundation (GPF) Tanzania Wazindua Mradi wa Jamii Shirikishi Katika Uzalendo na Ulinzi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,781
1,279
"Tunaamini ndani ya ushirikiano na tunapongeza taasisi ya Global Peace Foundation na ubalozi wa Uholanzi nchini Tanzania kwa kufadhili mradi huu wa “Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi”. ~ Mh Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi.

"Sisi kama viongoizi hatutakuwa vikwazo, na tutajitoa kuwaelimisha vijana na walengwa wote wa mradi huu waweze kuuelewa". ~ Mhe. Mohamed Moyo - Mkuu wa Wilaya Nachingwea.

"Nashukuru sana kwa mradi uliopita wa Dumisha Amani. Shukrani pia kwa ubalozi wa Uholanzi kwa kuwezesha utekelezaji wa mradi huu, Serikali ya Ruvuma itatoa sapoti ya kutosha kufanikisha mradi wa Jamii Shirikishi katika Uzalendo na ulinzi" ~ Mhe. Peres Magiri, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa

"Kuna dhana mbalimbali ya kufumbia macho matukio ya kikatili na kuyamaliza nyumbani kimyakimya lakini uwepo wa mradi huu wenye lengo la kuongeza ushirikiano kati ya polisi jamii na wanajamii wenyewe tunaenda kutatua hilo." ~ Mhe. Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi

"Kupitia mradi wa Jamii Shirikishi katika Uzalendo na Ulinzi; Jamii inaenda kushirikishwa inaenda kuwezeshwa na Kila mwananchi awajibike kwenye usalama wa eneo lake na mwenzake kwa maendeleo endelevu" ~ Mhe. Victoria Mwanziva, Mkuu wa Wilaya ya Lindi

WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.27.jpeg
WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.16.jpeg
WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.40 (1).jpeg
WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.33.jpeg
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.17.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.17.jpeg
    241.6 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.32 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.32 (1).jpeg
    337.2 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.39.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.39.jpeg
    573.1 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.35.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.35.jpeg
    274 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.26.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.26.jpeg
    159.8 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.19.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-18 at 12.02.19.jpeg
    323.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom