Girls wenye makalio makubwa ni wazuri kuwatazama tu

Conclusion haifikiwi kwa staili hiyo mkuu.ni kweli kua wapo wenye mizigo ambao wako hvo, ila sio wote. Mi ni mpenda wadada wenye mizigo(na nna bahati nao) ingawa mimi ni mwanaume mwembamba. Wengi nnaokutana nao ni wadada wanaojua kuoga vzuriii, na matundu yote huwa yako fresh kabisa
Mkuu ukisema matundu yote mawili unamaanisha nini? Inaelekea unachimba sana udongo mbichi wewe
 
Ina maana hawawezi mambo kunako 6 kwa 6 ama hali ya hewa kule chini sio nzuri??
Umeniacha njiapanda.
 
kuna kamoja kamevaa agauni cha nyeusi kalikatiza ule mtaa wa ohio akaingia NMB aisee wacha kabisa hata mimi niligeuza shingo leo wacha kabisa halafu wakivaaga viatu virefu mtikisiko unakuwa wa aina yake ..
Mhmhmh unamtamani mwenzako hivi, utakuwa lesbian si bure
 
Mada ya makalio makubwa imekuwa ikijadiliwa hapa sana na wengi waliishia kuhitimisha vivyo hivyo,kuwa Makalio makubwa uyafaidi kwa macho tu na si zaidi ya hapo.
 
Wikend baada ya kumaliza shughuli nzito ya kuwasilisha ripoti ya LAAC kwa waheshimiwa pale bunge dogo, nikaona kabisa ni bora tu hii sitting allowance nishee na mtoto wa chuo cha jirani hapa. Kutaka sifa kwa wenzangu nikabeba zigo hatari sana, zigo halitembei bali linajivuta kutokana n uzito wa kalio kubwa huko nyuma.

Hakika sifa nilizipata sana pale Sinza miti mirefu, kuanzia kwa dreva wangu na mashabiki wangu waliinjoi sana kutazama. Daaah kiukweli kutazama wazuri ili ukimsaula majanga matupu. Kana kwamba nilimkurupua tuu, hapana ilikuwa appointment ndefu tu ambayo naamini kulikuwa na maandalizi ya kutosha kupiga usafi wa nguvu. Pamoja na kujipulizia uturi mzito lakini bado hali ya usafi wa mazingira ilikuwa sio. Haikuwa mara ya kwanza, lakini nakaribia ku-conclude kuwa Wanawake wenye makalio makubwa wazuri kuwatazama tu............................
Pole kwa yaliyokukuta, kama nakuona jinsi udelele ulivyokuwa unakutoka lakini ghafla ukakauka. Duuhhh majanga wazuri kutazama ila kwa kutumia.........
 
Wikend baada ya kumaliza shughuli nzito ya kuwasilisha ripoti ya LAAC kwa waheshimiwa pale bunge dogo, nikaona kabisa ni bora tu hii sitting allowance nishee na mtoto wa chuo cha jirani hapa. Kutaka sifa kwa wenzangu nikabeba zigo hatari sana, zigo halitembei bali linajivuta kutokana n uzito wa kalio kubwa huko nyuma.

Hakika sifa nilizipata sana pale Sinza miti mirefu, kuanzia kwa dreva wangu na mashabiki wangu waliinjoi sana kutazama. Daaah kiukweli kutazama wazuri ili ukimsaula majanga matupu. Kana kwamba nilimkurupua tuu, hapana ilikuwa appointment ndefu tu ambayo naamini kulikuwa na maandalizi ya kutosha kupiga usafi wa nguvu. Pamoja na kujipulizia uturi mzito lakini bado hali ya usafi wa mazingira ilikuwa sio. Haikuwa mara ya kwanza, lakini nakaribia ku-conclude kuwa Wanawake wenye makalio makubwa wazuri kuwatazama tu............................
Wengine wako vizuri aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom