Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,171
Pole sana mkuu. Kwa hiyo unataka kusema kuwa mnara haujarefuka kabisa??Tapel mkubwa uyu, anauza losheni anadanganya dawa, ukimuliza Mbona aikui anasema Ongeza ela sijui akuongezee nini
Huyu ni tapeli mkubwa, hana hata office