Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,900
- 141,333
Ha ha ha ha niliwahi kusoma mahali kwamba "ukiona unawekwa profile picture usifurahie kuwa unapendwa, unatambulishwa kwa wenzio" lolHawa wanaume wa kutwa kucha kupost ig i love my wife huwa wazinzi tu wa kinya kimya kwa kivuli cha i love my wife