Ghorofa refu duniani lapambwa kwa rangi za bendera ya Kenya siku ya Jamhuri

Akili yako fupi inakutuma kutuambia hiyo kitu imeonekana kote duniani ndio maana ukaandika huo utumbo hapo juu bila kujua imeoneonekana hapo kenya tu tena kwa waliotumia Search engine ya google kwa siku hiyo
Umesema wewe sio mimi, soma post yangu tena. Sina huo muda wa kuendeleza ubishi wa kitoto.
 
Punguza kutumia makwapa kufikiria, yaani hadi mtu ambaye hajaenda shule anaweza kungamua na kuona hakuna faida yoyote hapo,
At least wangeweka labda kivutio chochote cha utalii lakini bendera tu 😂😂😂
Nasikitika sana nikijaribu kufikiri mzazi wako ametupa kiasi gani kukusomesha ngumbaru
 
So how is it relates to the raising of Kenyas flag.
ELrm3vcWsAAxS3w.jpeg
Here is your answer.
 
Sisi tulipandisha the real bendera Mlima Kilimanjaro 5895m.
Hii ilikuwa mwaka huu wa 2019? :confused:
Siku kama ya jana, 12 Desemba 1963, Jamhuri Day ya kwanza kabisa, Shujaa Kisoi Munyao alipandisha bendera ya Kenya juu kabisa kileleni mwa Ml. Kenya, 5,199m.
nh240810_06.jpg
Alafu mwaka wa 2010 Kenya ilipopata katiba mpya safari ya Munyao, ya kufika kileleni mwa Ml. Kenya, ikarudiwa na bendera ya Kenya ikapandishwa tena.
 
Hii ilikuwa mwaka huu wa 2019? :confused:
Siku kama ya jana, 12 Desemba 1963, Jamhuri Day ya kwanza kabisa Shujaa Kisoi Munyao alipandisha bendera ya Kenya juu kabisa kileleni mwa Ml. Kenya, 5,199m.
nh240810_06.jpg
Alafu mwaka wa 2010 tulipopata katiba mpya safari ya Munyao ikarudiwa na bendera ikapandishwa tena.
Of course mlituiga! Kumbe mlianza siku nyingi ila we always come on top!

15_alexander_gwebe_nyirenda_1937-2008.jpg

Alex Nyirenda (RIP) 09.12.1961
 
Of course mlituiga! Kumbe mlianza siku nyingi ila we always come on top!

15_alexander_gwebe_nyirenda_1937-2008.jpg

Alex Nyirenda (RIP) 09.12.1961
1961 bendera ya mabeberu ndio ilikuwa inapaa juu ya Ml. Kenya. Kisoi Munyao ndiye aliyeing'oa kisha akapandisha ya Kenya. Hata kupata Uhuru pia tuliwaiga. Bado sijaelewa kwanini ulikuwa unafaninisha tukio hilo na hili la bendera ya Kenya kwenye jengo refu duniani. Ambalo offcourse tumewaiga pia kwasababu mpo on top kama kawa.
 
1961 bendera ya beberu ndio ilikuwa inapaa juu ya Ml. Kenya. Munyao ndiye aliyeingoa kisha akapandisha ya Kenya. Hata kupata Uhuru pia tuliwaiga. Bado sijaelewa kwanini ulikuwa unafaninisha tukio hilo na hii ya jengo refu duniani.
Leta evidence ya union Jack on top of Mt Kenya!
 
Huwezi ukaendelea kwa sababu tayari nimeshakuelimisha, next time utatambua.
Aaa wapi! Tangu lini mwanakwaya wa Lumumba akawa na uwezo wa kuelimisha kiumbe chochote kile, kuhusu kitu chochote chini ya jua isipokuwa ujinga?
 
Hamna cha bure mzee, yaani wawape chakula cha njaa halafu waweke bendera ya hunger stricken pauper nation kwenye their iconic building bure?
Hii ndio evidence yako, Mzee?


 
Back
Top Bottom