wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,421
Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi
Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani
Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako.
Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina ukomo wa muda wake, ukifika 30 haupo conforable
Wengi baada ya kuhama mageto wanaenda kupanga nyumba nzima lakini na huku kuna ukomo wake, ukifika 45 ni stress