Gharama za kutuma na kutoa Pesa ziko hivi

Hata kama makampuni ya simu yakiongeza gharama lakini makato utayokatwa sio kama vile baadhi ya watu walivyokuwa wanaongopea wananchi kwamba kila ktk 1000 utakazotoa basi utakatwa 280,maelezo yale ndio yalikuwa yanawapagawisha watu
Tatizo ni waandishi makanjanja ndio waliripoti hivyo likiwamo nipashue
 
Siku zote anayelipa gharama zote ni mtumiaji wa mwisho, kwa hiyo kwa ongezeko lolote anayeumia ni mtumiaji wa mwisho.
Kuna watu hawajui hesabu wala hesabu za biashara (zile ambazo ni rahisi), yaani wao wanasubiri waambiwe tu kwamba hali itakuwa ngumu au nafuu ila hajui kinachoendelea.

Nataka ujue hivi; kwa mfano unaponunua mchele kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ujue wewe ndiye umemlipa mkulima gharama zake zote alizotumia na faida yake kule Ifakara, umelipa nauli ya huo mchele kutoka huko hadi ulipo, wewe ndiye uliyelipa kodi, wewe ndiye umemlipa mfanyakazi aliyeajiriwa hapo dukani uliponunua mchele, wewe ndiye uliyempa faida mwenye duka ukiondoa gharama zote alizotumia.
Yaani wewe ndiye umelipia mlolongo wote wa biashara toka gharama na faida za mkulima mpaka gharama na faida za muuzaji.

Kwa hiyo kwenye biashara yoyote mtumiaji wa mwisho ndiye analipa gharama na faida zote za mlolongo wa biashara.
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

Asante kwa ufafanuzi.
 
mimi nikiwambia daily hawa watu wa upinzani hawana nia njema na nchi zaid ya kupinga ata zuri...sasa huyo aliyopotosha umma...halafu nafahamu fika alikuwa anajua matokeo ya alichokuwa anakifanya,jana walifanya vyema kuzuia kongamano lake maake angeleta hoja chochezi..hafai!
 
Kama kampuni hzo za cm zmeongezewa Kodi unafkiri kampuni hzo hazitaongeza gharama za kutuma na kutoa pesa kwa Wateja wake(wa anchi) ili waendelee kupata faida kubwa, kwa mfano:
Kwa kutoa 20000/= ilikuwa inakatwa 1200/=
Serikali ikichukua kodi yake ya asilimia 10 ambayo ni sawa na sh 120
Halafu ikakatwa na VAT asilimia 18 ambayo ni sh 216.
Kwa hyo makato yote kwa ujumla inakuwa sh 336/=
Kutoka kwenye 1200/ kampuni linakuwa lmebakiwa na sh 864. Hiki ni kiasi kidogo ukilinganisha na walivokuwa wakipata awali kabla ya ongezeko hli la Kodi, kwa hyo ili wajarbu kubalance faida lazma waongeze tozo badala ya 1200/= inakuwa 1500/= kiasi kwamba serikali ikichukua kodi +vat( 10%+18%) ya 1500/= 420/= haya makato yote ukiyatoa kutoka ile sh 1500/= kampuni wanabakiwa na sh 1080/= ambayo ni kubwa ukilinganisha na sh 864/= kwa kampuni..
Naomba kidogo ufafanuzi wa hlo inawezekana mm cjaelewa.

hapo serikali inatakiwa kuwa makini, ikiwezekana iweke bei elekezi ili makampuni yasipandishe ghalama za miamala
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

Suala hili lilitakiwa litekelezwe tangu awali wakati wa kuanzisha mobile money transfer businesses hapa nchini.Kimaadili mazuri ya biashara ya utumaji pesa, kodi inatakiwa ikatwe wakati wa utumaji na sio wakati wa ulipwaji yaani mtumaji ndiye anakatwa na sio mlipwaji
 
Valentineoneday umedadavua vizuri sana na sasa nimeelewa kwa kweli... asante.
 
Hapana. Hakuna kitakachobadilika. Waliobanwa ni makampuni sio watumiaji

Na wewe kwa akili zako unadhani Serikali ndo imeyakomoa makampuni hayo yanayotoa huduma za kifedha...jiulize Serikali ilivyomwambia mfanyabiashara auze sukari kwa 1800 anaeye umia hadi wakati huu ni nani
 
mimi nikiwambia daily hawa watu wa upinzani hawana nia njema na nchi zaid ya kupinga ata zuri...sasa huyo aliyopotosha umma...halafu nafahamu fika alikuwa anajua matokeo ya alichokuwa anakifanya,jana walifanya vyema kuzuia kongamano lake maake angeleta hoja chochezi..hafai!
Hata Mimi nilijiuliza digriu yake na ubunge mbona anavutumia vibaya kueneza habari za uongo? Naamini alitumia ujinga wa watz walio wengi kujenga chuki
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

Ndugu asante kwa ufafanuzi ila nadhani hata wewe kunakitu huelewi kwenye hayo makato. Ni hivi ukituniwa hata muda wa maongezi wanakata. Nimetumiwe shilingi 500 wamekata shilingi 15. Ukituma muda wa maongezi wanaukata. Tutakiona hakya nani
 
wa hiyo ile figisu kuwa makato yameongezeka kwa mwananchi wa awaida ilikuwa ni porojo.??

Kama ni hivi ina maana serikali inadai tu haki yake ambayo ilitakiwa kuchukua kabla ila ilikuwa inachezewa na makampuni ya simu.??

Kwa akili zako za Iyena Iyena, unadhani atakae beba mzigo huo ni kampuni ya Simu? !
 
Garama zenyewe hata sasa ni kubwa sana, waondoe chai ofisini kila mtu anywe kwake maana analipwa mshahara
 
Anayelipa kodi nchi hii ni mwananchi wa chini kabisa. Hakuna mfanyabiashara anayekubali kushusha faida yake au kupata hasara.
Hizo kodi mtalipa nyie mlokuwa mnasema tutaisoma namba.
 
Burden of tax always rest to last consumer, hakuna kuzunguka zunguka kuremba maneno
 
UFAFANUZI KWA MANUFAA YA WENGI.

Summary:

Makato ni 10% + 18% (VAT)

KWA KIREFU

(Endelea Kusoma)

Kuhusu makato kwenye kutuma na kupokea pesa (kutoa kwa wakala)

Kwenye hotuba ya waziri wa fedha na mipango alisema hivi:

" (iv) kutoza ushuru wa bidhaa wa asilimia 10 kwenye ada zinazotozwa na watoa huduma wa simu katika kutuma na kupokea fedha badala ya ushuru huo kutozwa tu kwenye kutuma fedha pekee. Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

**********MAELEZO*****

Ipo hivi, kwa hali ya sasa unapomtumia pesa mtu, lets say 20,000 unakatwa kama Sh 500/-.

Serikali inachukua kodi kwenye hiyo mia tano tu.

Wakati huo huo ukitumiwa pesa, lets say 20,000. Ukienda kutoa kwa wakala wanakata sh 1,200.

Kwenye hiyo 1,200 serikali ilikuwa haipati kitu.

*************
Na ndio maana waziri akasema hivi:

Na nukuu:

" Katika utaratibu wa sasa, baadhi ya kampuni zinazotoa huduma zimetumia mwanya kwa kuhamishia sehemu kubwa ya ada hizo kwenye kupokea fedha na hvyo kuwa nje ya wigo wa kodi."

KWA MUJIBU WA BAJETI HII.(2016/17)

Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.

#Elimisha na wenzako.

Makampuni ya simu hayata kubali hiyo loss iwe iwaathiri wao,lazima watapandisha ada na wao kwaiyo muathithrika hapo ni final consumer
 
Back
Top Bottom