Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,502
Japo ulinichunia ila ntajipanga kwenye harusi yakoHaaahaaa....we jamaa bana
Japo ulinichunia ila ntajipanga kwenye harusi yakoHaaahaaa....we jamaa bana
Kwani technology take ikoje?Mkuu mbona Luna Cc za kawaida sana kwa mfano niliyoiona Mimi INA Cc 3480 ambazo ni za kawaida TENA inazidiwa na discovery td5 INA Cc 4000
Ili tumuroge.Anayemiliki hummer hapa JF aje hapa aiponde tumuone.
Ili tumuroge.
HIVI HIZI TOYOTA TX SIJUI ZINAUZWA BEI GAN?
Nimeona wamezindua zingine, siku ya uzinduzi naona Joe Biden alikuwepo na alipewa lift kuona utamu wakeHuu uzi