Uchaguzi 2020 Gharama za Fomu ya Ubunge

Sikukuelewa mkuu.
Gharama za kuchukua form kwa mgombea ubunge ni sh 100,000/na kwa nafasi ya udiwani ni sh 50,000,na kwa nafasi ya uraisi ni sh 1,000,000/,,,kwa upande wa chama form ya ubunge CCM ni sh laki tano(500,000),,,chadema ni sh 250,000/=,,,,NEC wanaendelea kusema ili uweze kufanya kampeni vizuri unahitajika uwe na angalao milioni kumii,,Kama unajiandaa kugombea financially inatakiwa uwe vizuri,kwa chama Kama ccm hupati shida Sana Kuna support ya chama na Wana magari kwa Kila wilaya usafiri hautasumbua,kwa vyama vingine Kuna shida itakulazimu ujiandae vizuri bila hivyo tutakuona unafanya kampeni maeneo ya mjini tu hutokuwa na uwezo wakufika vijiji vya ndani.
 
Mimi nimeomba tu kufahamishwa gharama za fomu sijasema kuwa nautaka ubunge.
Ni kweli. Hata kama ungekuwa unautaka ningesema pasi na shaka kuwa hutaambuia kitu kwani kama mpaka sasa hujui gharama za fomu basi inaonyesha hujajiandaa kushinda.
 
Unataka kwenda Jimbo gani, usije kuwa unataka kwenda jimbo langu la Nambendo
 
Asa
Gharama za kuchukua form kwa mgombea ubunge ni sh 100,000/na kwa nafasi ya udiwani ni sh 50,000,na kwa nafasi ya uraisi ni sh 1,000,000/,,,kwa upande wa chama form ya ubunge CCM ni sh laki tano(500,000),,,chadema ni sh 250,000/=,,,,NEC wanaendelea kusema ili uweze kufanya kampeni vizuri unahitajika uwe na angalao milioni kumii,,Kama unajiandaa kugombea financially inatakiwa uwe vizuri,kwa chama Kama ccm hupati shida Sana Kuna support ya chama na Wana magari kwa Kila wilaya usafiri hautasumbua,kwa vyama vingine Kuna shida itakulazimu ujiandae vizuri bila hivyo tutakuona unafanya kampeni maeneo ya mjini tu hutokuwa na uwezo wakufika vijiji vya ndani.
Asante sana.
 
Back
Top Bottom