cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
daaah
Hapa ninashindwa kuelewa watu wanaoleta watoto duniani ili wawatese.
Mkuu hata kamaUsikute alisingiziwa mimba
Kwani ukatili huu kwa watoto sio tabia zetu wanaume
Fimbo sio jibu kwa kweli!! Daaah sio jibu kabisa .Miaka ya nyuma tuliishi familia yote huku tukiishi na mtoto wa ndugu yetu, alikua ana miaka 5 kipindi hicho, ilikua akikosea simpigi, nampa adhabu, mfano kumkatia ile michezo yake kwa siku kadhaa, kumnyima kuangalia tv, kumkataza kwenda kucheza, atakula mkate na chai siku zote za adhabu n.k
Mama akawa anakasirika kua ni bora niwe namchapa kuliko hivyo, old school parenting bado inaona bakora ni jibu la kila swali. Mimi nikaacha kumpa adhabu, dogo alikua analamba bakora si mchezo.
Sasa hivi nunda, yuko kidato cha kwanza lakini anajikojolea, hiyo dalili inareflect bakora za utotoni. Nikirudi nyumbani hua nalala naye, maajabu yake nikiwepo mimi hajikojolei.
Hagusi chakula ambacho familia itakula. Yeye asubuhi mchana na usiku ni mkate na chai tu.Fimbo sio jibu kwa kweli!! Daaah sio jibu kabisa .
. Japo hapo penye kula mkate na chai pamenipa shida kidogi
Mbona wanawake pia wanafanya unyama zaidi Kwa watoto ingali wao wanabeba mimba na kuzaa Kwa uchungu.Tumbo limenikata , kuna wakati huwa natamani na wanaume wangebeba mimba wazae kwa uchungu , sidhani kama angeyafanya haya
Hatukatai mtt kuadhibiw ila c kw kiwango kama hiki
Mkuu kuna vitu mtu anafanyiwa utotoni na vinamwthiri ukubwani. Akili ya binadamu Ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi matukio, kuna nyimbo ambazo ukizisikia zitakua si ngeni kwako lakini hujawahi kuzisikia na utashangaa mama yako akikwambia mziki huu nilikuwa ninaupenda sana nikiwa mja mzito kwako.Hapana, unakuta wengi wamefanyiwa ivo ivo wakiwa wadogo,...
Mkuu kuna vitu mtu anafanyiwa utotoni na vinamwthiri ukubwani. Akili ya binadamu Ina uwezo mkubwa sana wa kuhifadhi matukio, kuna nyumba ambazo ukizisikia zitakua si Nguni kwako lakini hujawahi kuzisikia na utashangaa mama yako akikwambia mziki huu nilikuwa ninaupenda sana nikiwa mja mzito kwako.
Mkuu wengine wanafanya ujambazi ili watoto wao wasomeJamani jamani, duh hata jambazi ana upendo kwa mwanae, huyu baba yake vp! Mtoto mdogo kujisaidia kitandani ni moja ya changamoto ya ulezi. Au huyu baba ye kajikuta mkubwa tu hakulelewa? Mraaaa! aaargh, angekuwa karibu ningemghecha na kula maini yake tomb......oko zake
Sahihi kabisa, sasa huyu utakuta ni mtu wa kawaida tu na anafanya hivyo, au hajui kuwa utajiri wa maskini ni watoto wake? Dah! Inasikitisha kwa kweli.Mkuu wengine wanafanya ujambazi ili watoto wao wasome
Jamani jamani, duh hata jambazi ana upendo kwa mwanae, huyu baba yake vp! Mtoto mdogo kujisaidia kitandani ni moja ya changamoto ya ulezi. Au huyu baba ye kajikuta mkubwa tu hakulelewa? Mraaaa! aaargh, angekuwa karibu ningemghecha na kula maini yake tomb......oko zake
Si wote wavaao nguo ni wazima mkuu.Duuh...sina uhakika kama ni mwanae wa damu, otherwise huyo baba ni mentally unfit.