apa unaingia field na gps receiver unafanya marking..wapi pawekwe nguzo ya umeme,wapi ikae transformer,wapi ikae substation then anatransfer collected waypoints to arc map anatengeneza electrical one line diagram (pamoja na kuvuta waya in plan view) na kuweka dimensioning na kila kitu...una print hard copy out na kumpelekea main contractorIkoje hiyo mkuu
arcGIS is the best, then qGIS inafuatia.Mkuu ni ipi njia rahis tayar una coordinates za eneo na unataka kuproduce boundary map je utumie gis software kama QGIS, ArcGIS au utumie autocad Civil 3D???
Me natumia QGIS.arcGIS is the best, then qGIS inafuatia.
AutoCAD sio software kwa ajili ya mapping.tumia autocad
Inawezekana mkuu, nenda pale udsm au ardhi nadhani wana hiyo koziWaungwana nisaidieni ndugu yenu kwa ushauri.
Nmekuwa na interest sana na kusoma GIS and REMOTE SENSING ila kama kuna GIS pekee itanifaa sana pia.ngazi ya masters
Ila hofu yangu ni vigezo,nataka kusoma level ya masters je ntakua na vigezo stahiki na je ni vyuo gani vinatoa hiyo course.
Mimi nmesoma BAED
na GEOGRAPHY ni mojawapo ya somo nilililosoma,ndani yake tulisoma
-spartial organisation
-surveying and mapping science
-remote sensing
Je hivi vitaweza kunibeba
Shukrani mkuuInawezekana mkuu, nenda pale udsm au ardhi nadhani wana hiyo kozi
Africa knowledge is prohibited online, wenzetu weupe knowledge is free online....Mambo haya yawekwe hadharan na si inbox, huenda case yako ikavutia wengine lakin itapanua wigo wa kujadili.N mapendekezo tu wakuu