Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 181,322
- 1,095,850
Saint Ivuga, Wasukuma umetuonea bure. Huyu dogo kwao halisi ni Morogoro na inawezekana ni Mruguru huyu au makabila mengine ya huko. Kaja huku migodini Geita kutafuta pesa tu. Tena kumbe ni mhitimu wa UDSM kabisa. Wasukuma tunaomba tuombwe radhi kwa hili.Wasukuma muwe mnauliza basiii,, JF sio FB kaka..
Itabidi tukuunganishe na bro wako mmoja kichwa sana Akupe maujanja ya maana.. USA baby