Gazeti la Mwananchi jaribuni kumheshimu Rais, kampeni zimeshaisha

QUOTE="gasper do santos, post: 16072111, member: 81930"]kama 2% m sawa na 1100 wamekosea wapi hapo?[/QUOTE]
Kwa mshahara wa kiasi gani?
 
Ni Gazeti ambalo tokea mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais wa CCM ulipoanza na hadi alipopatikana Dkt. Magufuli na hata kipindi chote cha Kampeni na kama haitoshi mara baada ya ushindi wa Magufuli na kutawazwa kwake kuwa Rais bado tu hili Gazeti lilionyesha dhahiri shahiri kuwa linatumika vibaya Kisiasa kwa maslahi ya huyo au hao wanaomtegemea / wategemea.

Kama Wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa kiuandishi wa hili gazeti la MWANANCHI utakubaliana nami kuwa hili gazeti lina CHUKI ILIYOKOMAA dhidi ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Magufuli kwani hata kama akifanya JEMA gani kesho yake MWANANCHI hawataandika KIUELEDI zaidi ila watakuja na reporting ya KINAFIKI na KIUCHOKOZI.

Kilichonisikitisha hasa ni kitendo cha Kichwa cha Habari cha gazeti la MWANANCHI la leo tarehe 2, May 2016. Jana ilikuwa ni MEI mosi ambapo kitaifa ilifanyika Mkoani Dodoma ambapo pia ndipo Makao Makuu ya nchi yetu ambapo Mheshimiwa Rais Magufuli aliweza kutoa Hotuba yake ambayo ilionyesha dira yake KIUTENDAJI kwa nchi yetu.

Mheshimiwa Rais jana alizungumza mengi sana lakini kama ilivyo ada wengi wetu tulikuwa tumetega masikio kusikia kama Mishahara na fursa zingine zitaongezeka vitu ambavyo Rais alivitolea UFAFANUZI mzuri tu hadi kila Mtu akaridhika.

MAUDHI kama siyo KERO ya KIUELEDI leo MWANANCHI wamekuja na Kichwa cha Habari kwa kusema PAYE imepunguzwa kwa Tsh 1,100/= tu. Kila siku Watanzania tunasisitizana kuwa tuweke UZALENDO kwa nchi yetu hivyo nikajiuliza mno maswali kwamba au kwakuwa Management nzima ya MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED 85% ni WAKENYA

Nilikuwa najiuliza kila siku kwanini Mwandishi wa Habari Mwandamizi na Mkogwe katika TASNIA ya Uandishi wa Habari Richard Mghamba aliamua kuondoka MCL na kurudi zake IPP Media ambapo sasa ndiyo Executive Editor / Managing Editor. Kwa ninavyomjua Richard Mghamba alivyo MWELEDI na anaijua vizuri sana FANI yake ukiona anaachana na Ofisi au Kampuni fulani jua hapo alipotoka kuna UOZO wa hali ya juu.

MWANANCHI hamjamtendea HAKI Mheshimiwa Rais na Watanzania kwa aina yenu ya Kichwa cha Habari mlichokiweka leo. Japo siyo Economist ila sidhani kama punguzo la PAYE alilolisema jana Mheshimiwa Rais la kutoka 11% hadi 9% ni sawa sawa na hiyo Tsh 1,100/= mliyoiandika leo. Binafsi mmenisikitisha mno na naanza sasa kutilia shaka PROFESSIONALISM yenu na yawezekana ikawa hali hii ndiyo hata imesababisha waliokuwa Waandishi wenu wa Habari MAHIRI kama Alex Bitekeye, Edward Qorro, Ibrahim Yamola, Lasteck Alfred, Aidan Mhando na wengineo wengi tu wameachana na nyie na sasa wanafanya vizuri sana huko waliko.

Tafadhali msituletee UKENYA wenu hapa na Mheshimiwa Waziri Nape anza sasa KULIMULIKA hili Gazeti na ikibidi hata Kampuni yao yenyewe ili baadae hili gazeti lisije kusababisha kilichoikumba nchi ya Rwanda mwaka 1994 kulikofanywa na Redio ya UCHOCHEZI iliyokuwa ikiitwa RTLM ( Radio Transmission Le Milcoline ) ambayo ilikuwa chini ya MHUTU aitwae Rwegosora ambaye sasa anatumikia Kifungo cha maisha alichohukumiwa na ICTR.

Nawasilisha!
Kwa kima cha chini cha mshahara inaweza kuwa sawa,mi ninachokijua hiyo PAYE haikatwi kwenye gross salary yote kwa mfano kama mtu analipwa 340,000 haikatwi asilimia 9 ya 340,000
 
Akhsante Mkuu UMEMALIZA kila kitu kwani Watu walidhani NIMEKURUPUKA tu kuja na huu UZI na kuwasema MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED. Vyombo husika hasa Waziri Nape aliangalie hili kwa jicho la UMAKINI kabisa kwani nia ya hili gazeti kwa nchi yetu ya Tanzania si nzuri na likiendelea kuachwa lifanywe huu UPUUZI kuna siku tutakuja kugawana majengo ya Serikali ambapo wengine wataishia mortuary na wengine gerezani. Hiyo habari mtake msitake MWANANCHI wameiandika kwa UCHOCHEZI na ukitumia jicho pevu na la tatu utakubaliana nami kuwa nia yao ni KUMDHIHAKI Mheshimiwa Rais wetu Kipenzi Dkt. John Pombe Joseph Magufuli hivyo nawasihi WAHUSIKA wasilifumbie hili macho kwani hawa Watu wakiachwa kuna siku watakuja na kitu kibaya kushinda hiki na TUTAJUTA!
Nakumbuka utawala wa Kikwete mwanzoni au wa Mkapa mwishoni wamiliki wa gazeti hili walifukuzwa nchini na Idara ya Uhamiaji kwa agizo la Serekali kwa sababu hizo hizo ambazo wewe leo unaziweka hadharani...ki ukweli hawa jamaa kina "Wanjiru" sio watu wema kabisa wana ubinafsi sana za chuki zao zimeongezeka maradufu katika kipindi hiki ambapo TANZANIA inaelekea kuwa "big brother" wa EAC
 
MWAMBIE MBUNGE WAKO AKAE KIMYA.!

Mtu mmoja kanitext hivi inbox;

SWALI: "Kaka mimi niko shirika..... (akataja jina la shirika). My basic sallary is TZS 3,231,000/= je kwa punguzo la paye leo nitanufaika kiasi gani?

JIBU: Kabla ya leo ulikua ukilipa PAYE 11% zidisha kwa 720,000/= 79,200/=. Kisha chukua ur BS 3,231,000/= toa 720,000/= then zidisha kwa 30% (ambayo ni excess charges) utapata 753,300/=. Ukijumlisha na ile 79,200/= ya PAYE utapata 832,500/= (jumla ya kodi).

Baada ya leo itakuwa PAYE 09% zidisha kwa 720,000/= 64,800/=. Then chukua your BS 3,231,0000/= toa 720,000/= then zidisha kwa 30% (ambayo ni excess charges) utapata 753,300/=. Sasa jumlisha na ile 64,900/= ya PAYE utapata 818,200/= (jumla ya kodi).

Sasa chukua kodi uliyokua ukilipa zamani 832,500/= kisha toa kodi mpya utakayoanza kulipa sasa hivi 818,200/= utapata jumla ya Shilingi 14,300/=.

Maana yake ni kwamba umepunguziwa Shilingi 14,000/= ambayo haitoshi hata kununua nyama kilo 3.

#MyTAKE
Nashauri Rais angepunguza percentage ya excess charges kwa wenye mishahara inayozidi 720,000/=. Maana kupunguza PAYE halafu excess charges (gharama ya zidio) ni 30% bado ni unyonyaji.

Kwa mfano huyu jamaa anayelipwa 3,231,000/= hata asingepunguziwa PAYE, badala yake akapunguziwa gharama ya zidio angalau akakatwa 10% hesabu yake ingekua hivi.

11% times 3,231,000/= ni sawa na 79,200/=. Then kwenye excess charges angekatwa 10% ya zidio. Yani 3,231,000/= minus 720,000/= times 10% ingekua 251,100/=. Kwahiyo angekatwa PAYE 79,200/= jumlisha gharama ya zidio 251,100/= jumla 330,300/=.

Lakini sasa hivi analipa 818,200/= na hapa ni baada ya punguzo la PAYE leo.

Hii ina maana kwamba punguzo hili la PAYE ni kiini macho tu. PAYE haina effect kama EXCESS CHARGES (gharama ya zidio) kwenye mishahara inayozidi 720,000/= itaendelea kuwa 30%.

Kama Rais angepunguza Excess charges angalau zikafika 10% kutoka 30% ziliko sasa hivi, ingekua na maana kubwa sana kuliko kupunguza PAYE.

Kwa kifupi ni kuwa punguzo la PAYE litawanufaisha zaidi wenye mishahara chini ya 720,000/= lakini kwa wanaolipwa zaidi ya hapo hakuna benefit ya maana. Hata hao wanaolipwa bellow 720,000/= bado watanufaika kidogo sana.

Nimeona nitoe ufafanuzi huu kwa sababu baadhi ya watu wameanza kumsifu Rais kwa punguzo hili la PAYE. Hadi wabunge wa upinzani nao wamebebwa na mkumbo huu na kuanza kuimba nyimbo na mapambio. Labda kwa sababu wabunge hawalipi kodi ndio maana hawajui sisi watumishi tunaathirika vipi.

Ukiona Mbunge yeyote anashangilia punguzo hili elewa tu kwamba anapenda namba lakini hajui hesabu. Kwahiyo jitahidi kumkumbusha hesabu kwa kutumia kanuni nilizozieleza hapo juu. Kupunguza PAYE wakati gharama za zidio ziko palepale ni kiini macho tu.

Yani Rais JPM alichofanya ni kutulazimisha tukatae ongezeko la mshahara. Maana kila ukiongezewa mshahara Serikali inakula 30% ya ongezeko hilo.

NB: Kuna watu wanaweza kuhoji mbona wapinzani waliomba PAYE ipunguzwe? Ni kweli tuliomba PAYE ipunguzwe tangu mwaka 2011 atleast isome single digit. Lakini single digit in both PAYE and Excess charges. Yani kama PAYE ni 09% basi na excess charges ziwe 09% pia. Sio kupunguza PAYE peke yake wakati excess charges zimebaki paleale. Na hizo ndizo zinazoumiza.

Kwa mfano wa huyo jamaa hapo juu ingekua excess charges zimepunguzwa angekatwa almost laki 3 kwenye mshahara wake. Lakini kwa punguzo hili la JPM bado ataendelea kukatwa laki 8 na ushee. Sasa hapa kuna punguzo gani?

Waambieni wabunge wenu wanaoshangilia punguzo la PAYE kuwa kazi bado. Wakomae ili gharama ya zidio (excess charges) ipungue kutoka 30% iliyopo sasa hivi hadi angalau 10%. Hapo ndio tutawaelewa. Otherwise wafunge midomo yao maana wanashanglia jambo wasilolijua.

Sio wa CCM sio wa UKAWA wote wako partial informed. Plz tell them to fight ili gharama ya zidio (exces charges) ipungue, otherwise let them shutup tuendelee kuumia kama tulivyozoea.

Sioni fahari yoyote Mbunge wa UKAWA au wa CCM kufurahia PAYE kupunguzwa wakati binafsi nimepunguziwa kiasi kisichozidi 14,000/= ambayo suruali moja ya "Jeans".

Nimeamua kusema hivi maana naona wabunge wengi wa UKAWA wanacheza ngoma ya Magufuli. Wanaanza kujitapa mara Upinzani tulishauri jambo hili tangu mwaka 2011,wengine wanapiga picha hadi hotuba ya kambi ya upinzani iliyozungumzia jambo hilo. Waambieni wakae kimya na wasiendelee kuongea vitu wasivyovijua.

Sina nafuu yoyote niliyopewa kwa kupunguziwa 02% kwenye PAYE wakati excess charges ni 30%. Ningewaona wabunge ni wa maana zaidi kama wangemshawishi Rais apunguze vyote viwe 09% sio kushangilia wakati watumishi tunaendelea kuumia.

Mwambie mbunge wako akae kimya.
NA WEWE NI BORA UNGEKAA KIMYA!
 
Gazeti la Mwananchi ilikuwa gazeti bora sana kipindi cha akina Makunga (sina uhakika kama nimepata jina). Kwa sasa ni gazeti linaloongoza kwa kuandika majungu. Rejea sakata la NSSF kwa mfano, katika ukaguzi wa CAG hajaona huo ufisadi. Kwa sasa kazi yake ni kuandika uchochezi tu.
 
Mleta uzi porojo nyingiii hivi hilo gazeti kuandika ukweli ndo uchochezi? Kwanini usiwakemee uvccm na kabango kao kule zenji MACHOTARA. Mbona hukuibuka na kulaani. Sasa hao waandishi walohama mwananchi walienda gazeti la uhuru na habari leo? Kwa hiyo mnataka kutugeuza mandondocha hakuna kuhoji,
Kaishiwa huyo anatupotezea muda
 
Ni Gazeti ambalo tokea mchakato wa kumtafuta Mgombea Urais wa CCM ulipoanza na hadi alipopatikana Dkt. Magufuli na hata kipindi chote cha Kampeni na kama haitoshi mara baada ya ushindi wa Magufuli na kutawazwa kwake kuwa Rais bado tu hili Gazeti lilionyesha dhahiri shahiri kuwa linatumika vibaya Kisiasa kwa maslahi ya huyo au hao wanaomtegemea / wategemea.

Kama Wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa kiuandishi wa hili gazeti la MWANANCHI utakubaliana nami kuwa hili gazeti lina CHUKI ILIYOKOMAA dhidi ya Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Magufuli kwani hata kama akifanya JEMA gani kesho yake MWANANCHI hawataandika KIUELEDI zaidi ila watakuja na reporting ya KINAFIKI na KIUCHOKOZI.

Kilichonisikitisha hasa ni kitendo cha Kichwa cha Habari cha gazeti la MWANANCHI la leo tarehe 2, May 2016. Jana ilikuwa ni MEI mosi ambapo kitaifa ilifanyika Mkoani Dodoma ambapo pia ndipo Makao Makuu ya nchi yetu ambapo Mheshimiwa Rais Magufuli aliweza kutoa Hotuba yake ambayo ilionyesha dira yake KIUTENDAJI kwa nchi yetu.

Mheshimiwa Rais jana alizungumza mengi sana lakini kama ilivyo ada wengi wetu tulikuwa tumetega masikio kusikia kama Mishahara na fursa zingine zitaongezeka vitu ambavyo Rais alivitolea UFAFANUZI mzuri tu hadi kila Mtu akaridhika.

MAUDHI kama siyo KERO ya KIUELEDI leo MWANANCHI wamekuja na Kichwa cha Habari kwa kusema PAYE imepunguzwa kwa Tsh 1,100/= tu. Kila siku Watanzania tunasisitizana kuwa tuweke UZALENDO kwa nchi yetu hivyo nikajiuliza mno maswali kwamba au kwakuwa Management nzima ya MWANANCHI COMMUNICATION LIMITED 85% ni WAKENYA

Nilikuwa najiuliza kila siku kwanini Mwandishi wa Habari Mwandamizi na Mkogwe katika TASNIA ya Uandishi wa Habari Richard Mghamba aliamua kuondoka MCL na kurudi zake IPP Media ambapo sasa ndiyo Executive Editor / Managing Editor. Kwa ninavyomjua Richard Mghamba alivyo MWELEDI na anaijua vizuri sana FANI yake ukiona anaachana na Ofisi au Kampuni fulani jua hapo alipotoka kuna UOZO wa hali ya juu.

MWANANCHI hamjamtendea HAKI Mheshimiwa Rais na Watanzania kwa aina yenu ya Kichwa cha Habari mlichokiweka leo. Japo siyo Economist ila sidhani kama punguzo la PAYE alilolisema jana Mheshimiwa Rais la kutoka 11% hadi 9% ni sawa sawa na hiyo Tsh 1,100/= mliyoiandika leo. Binafsi mmenisikitisha mno na naanza sasa kutilia shaka PROFESSIONALISM yenu na yawezekana ikawa hali hii ndiyo hata imesababisha waliokuwa Waandishi wenu wa Habari MAHIRI kama Alex Bitekeye, Edward Qorro, Ibrahim Yamola, Lasteck Alfred, Aidan Mhando na wengineo wengi tu wameachana na nyie na sasa wanafanya vizuri sana huko waliko.

Tafadhali msituletee, wenu hapa na Mheshimiwa Waziri Nape anza sasa KULIMULIKA hili Gazeti na ikibidi hata Kampuni yao yenyewe ili baadae hili gazeti lisije kusababisha kilichoikumba nchi ya Rwanda mwaka 1994 kulikofanywa na Redio ya UCHOCHEZI iliyokuwa ikiitwa RTLM ( Radio Transmission Le Milcoline ) ambayo ilikuwa chini ya MHUTU aitwae Rwegosora ambaye sasa anatumikia Kifungo cha maisha alichohukumiwa na ICTR.

Nawasilisha!
Mihemko mibaya sana
 
Hii nchi ina maadaui, wanafiki na mazandiki wengi. Wanajifanya kukosoa sana utendaji wa serikali kwa mgongo wa uhuru wa kutoa na kupata habari. Dawa yao hawa ni kuwashughulikia. Vyombo vya ulinzi na usalama visaidie kuwadhibiti hawa nduli mapema. Kama hawa wakenya wapigwe PI (prohibited Immigrant ) kabisa wasirudi tena. Ndiyomaana kwao vurugu huwa haziishi, kwasababu za kipumbavu kama hizi.
 
MWAMBIE MBUNGE WAKO AKAE KIMYA.!

Mtu mmoja kanitext hivi inbox;

SWALI: "Kaka mimi niko shirika..... (akataja jina la shirika). My basic sallary is TZS 3,231,000/= je kwa punguzo la paye leo nitanufaika kiasi gani?

JIBU: Kabla ya leo ulikua ukilipa PAYE 11% zidisha kwa 720,000/= 79,200/=. Kisha chukua ur BS 3,231,000/= toa 720,000/= then zidisha kwa 30% (ambayo ni excess charges) utapata 753,300/=. Ukijumlisha na ile 79,200/= ya PAYE utapata 832,500/= (jumla ya kodi).

Baada ya leo itakuwa PAYE 09% zidisha kwa 720,000/= 64,800/=. Then chukua your BS 3,231,0000/= toa 720,000/= then zidisha kwa 30% (ambayo ni excess charges) utapata 753,300/=. Sasa jumlisha na ile 64,900/= ya PAYE utapata 818,200/= (jumla ya kodi).

Sasa chukua kodi uliyokua ukilipa zamani 832,500/= kisha toa kodi mpya utakayoanza kulipa sasa hivi 818,200/= utapata jumla ya Shilingi 14,300/=.

Maana yake ni kwamba umepunguziwa Shilingi 14,000/= ambayo haitoshi hata kununua nyama kilo 3.

#MyTAKE
Nashauri Rais angepunguza percentage ya excess charges kwa wenye mishahara inayozidi 720,000/=. Maana kupunguza PAYE halafu excess charges (gharama ya zidio) ni 30% bado ni unyonyaji.

Kwa mfano huyu jamaa anayelipwa 3,231,000/= hata asingepunguziwa PAYE, badala yake akapunguziwa gharama ya zidio angalau akakatwa 10% hesabu yake ingekua hivi.

11% times 3,231,000/= ni sawa na 79,200/=. Then kwenye excess charges angekatwa 10% ya zidio. Yani 3,231,000/= minus 720,000/= times 10% ingekua 251,100/=. Kwahiyo angekatwa PAYE 79,200/= jumlisha gharama ya zidio 251,100/= jumla 330,300/=.

Lakini sasa hivi analipa 818,200/= na hapa ni baada ya punguzo la PAYE leo.

Hii ina maana kwamba punguzo hili la PAYE ni kiini macho tu. PAYE haina effect kama EXCESS CHARGES (gharama ya zidio) kwenye mishahara inayozidi 720,000/= itaendelea kuwa 30%.

Kama Rais angepunguza Excess charges angalau zikafika 10% kutoka 30% ziliko sasa hivi, ingekua na maana kubwa sana kuliko kupunguza PAYE.

Kwa kifupi ni kuwa punguzo la PAYE litawanufaisha zaidi wenye mishahara chini ya 720,000/= lakini kwa wanaolipwa zaidi ya hapo hakuna benefit ya maana. Hata hao wanaolipwa bellow 720,000/= bado watanufaika kidogo sana.

Nimeona nitoe ufafanuzi huu kwa sababu baadhi ya watu wameanza kumsifu Rais kwa punguzo hili la PAYE. Hadi wabunge wa upinzani nao wamebebwa na mkumbo huu na kuanza kuimba nyimbo na mapambio. Labda kwa sababu wabunge hawalipi kodi ndio maana hawajui sisi watumishi tunaathirika vipi.

Ukiona Mbunge yeyote anashangilia punguzo hili elewa tu kwamba anapenda namba lakini hajui hesabu. Kwahiyo jitahidi kumkumbusha hesabu kwa kutumia kanuni nilizozieleza hapo juu. Kupunguza PAYE wakati gharama za zidio ziko palepale ni kiini macho tu.

Yani Rais JPM alichofanya ni kutulazimisha tukatae ongezeko la mshahara. Maana kila ukiongezewa mshahara Serikali inakula 30% ya ongezeko hilo.

NB: Kuna watu wanaweza kuhoji mbona wapinzani waliomba PAYE ipunguzwe? Ni kweli tuliomba PAYE ipunguzwe tangu mwaka 2011 atleast isome single digit. Lakini single digit in both PAYE and Excess charges. Yani kama PAYE ni 09% basi na excess charges ziwe 09% pia. Sio kupunguza PAYE peke yake wakati excess charges zimebaki paleale. Na hizo ndizo zinazoumiza.

Kwa mfano wa huyo jamaa hapo juu ingekua excess charges zimepunguzwa angekatwa almost laki 3 kwenye mshahara wake. Lakini kwa punguzo hili la JPM bado ataendelea kukatwa laki 8 na ushee. Sasa hapa kuna punguzo gani?

Waambieni wabunge wenu wanaoshangilia punguzo la PAYE kuwa kazi bado. Wakomae ili gharama ya zidio (excess charges) ipungue kutoka 30% iliyopo sasa hivi hadi angalau 10%. Hapo ndio tutawaelewa. Otherwise wafunge midomo yao maana wanashanglia jambo wasilolijua.

Sio wa CCM sio wa UKAWA wote wako partial informed. Plz tell them to fight ili gharama ya zidio (exces charges) ipungue, otherwise let them shutup tuendelee kuumia kama tulivyozoea.

Sioni fahari yoyote Mbunge wa UKAWA au wa CCM kufurahia PAYE kupunguzwa wakati binafsi nimepunguziwa kiasi kisichozidi 14,000/= ambayo suruali moja ya "Jeans".

Nimeamua kusema hivi maana naona wabunge wengi wa UKAWA wanacheza ngoma ya Magufuli. Wanaanza kujitapa mara Upinzani tulishauri jambo hili tangu mwaka 2011,wengine wanapiga picha hadi hotuba ya kambi ya upinzani iliyozungumzia jambo hilo. Waambieni wakae kimya na wasiendelee kuongea vitu wasivyovijua.

Sina nafuu yoyote niliyopewa kwa kupunguziwa 02% kwenye PAYE wakati excess charges ni 30%. Ningewaona wabunge ni wa maana zaidi kama wangemshawishi Rais apunguze vyote viwe 09% sio kushangilia wakati watumishi tunaendelea kuumia.

Mwambie mbunge wako akae kimya.
Amen. Mwenyewe nimeshangaa jinsi watu walivyoshangilia hili punguzo. Naamini si wafanyakazi. Gazeti la mwananchi halijakosea chochote, na waambieni waendelee kuelimisha umma. Gharama za zidio zipunguzwe maana kukata hela yangu kwa 30% ni ujambawazi. Makato ya juu kabisa yasizidi 20%. Ningetaka hata 10% lakini kutokana na uchumi kutokutegemea uzalishaji naelewa.
 
Nadhani ungeanza kwanza kumuuliza je " ameajirika " mahali? Usije kukuta unapoteza tu muda wako kumuuliza swali mpiga " punyeto " aliyetukuka kama yule Waziri wa DR Congo na ni jobless.
:):) Umenichekesha sanaaaa,eti mpiga punyeto
 
Back
Top Bottom