Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

Alisema anaweza kumfukuza mtu yoyote Dar - tena mtu huyo ataondoka na ndala tu. Karma hua haimwachi mtu, ipo siku ataiona Dar yamoto - atarudi Komomije pekupeku. Let's bet!!

Nilimuona jana akilia sana sana, nilimionea huruma tu - hana raha, hana amani, same hata kwa mkewe na wazazi pia, anaongea kwa hofu. Karma haiangalii sura, cheo wala elimu.
hahaaa...now I do believe in KARMA loo
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
Paskali
 
Back
Top Bottom