Gazeti la Jambo Leo linapatikana bure likiwa na headline "Huyu ni Manji mnayemzungumzia?"

Siku zote kadri unavyozidi kutumia nguvu kubwa na gharama kukanusha/kujitetea juu ya jambo fulani ulilozushiwa ndivyo unavyowapa watu nguvu ya kuamini kuwa jambo hilo lina chembechembe za ukweli.

Nilipita facebook kwenye ukurasa wa jamboleo new nami nikakuta hiyo habari na picha ya hapo, hii page tangu ianzishwe kila post inayopost hahijawahi kudhaminiwa lakini post ya leo imedhaminiwa.

Naona ndio juhudi za kumsafisha bosi maana hata alivyoinunua hii kampuni watu walisema amenunua kwa ajili ya kisemeo chake na fagio lake la kumsafisha pale tope limrukiapo.
 
Anawachafua wenzie kivipi mkuu?! Watanzania hamueleweki au ni kwamba hamjui mnachokitaka?! Au wewe hujawahi kupata mtu wako wa karibu aliyeathiriwa na madawa ya kulevya?! Au tukukabidhi wewe vita hii uifanye vile unavyoona inastahili....


Mnavyomnanga huyu kijana kama vile ni kwa faida yake wakati ni kwa faida ya taifa zima na wanyonge pia,kahatarisha maisha yake na familia yake bado tu hamna shukrani no wonder hata Mungu anatunyima baraka zake na tunaandamwa na majanga kila siku sababu ya unafki.

Makonda do what you think it's right,binafsi nakuombea kika wakati.
Umeandika maneno mengi alafu non sense,kiingozi mkubwa wakiserikali kudel n tuhuma ni uhayawani alikuwa na muda wakudeal na hizo tuhuma then hatua stahiki zichukuliwe kwa wahusika!!najua awamu hii ni ya stupid guys wanaopenda showoff kwenye runinga ndomana mtu anaenda kuomba kanisni anaita waandishi w habari!!kama anania ya dhati aende kwa babake ikulu ampe list iliyo achwa na mfalme aifanyie kazi kwakuwatia mbaroni wale waharifu kamili
 
4efc18fabc54be9d9963319ef22fb4ab.jpg
Ila hilo gazeti kama nimeona bei yake 500 hapo limegawiwaje bure???
 
Hivi alimuona RA kuamia Kenya ilikuwa bahati mmbaya! Siyo? Serikali hii imerudi mikononi mwa wananchi! Ajiandae kutii sheria bila shuruti!
 
Nina mashaka limenunuliwa hili gazeti.
mkuu ushaambiwa leo hilo gazeti haliuzwi ni free ukilikuta chukua sepa nalo, jamaa kashalipia mzigo wote.... na hiyo habari hapo front page atakuwa kaichapa mwenyewe kwa mikono yake

Kweli pesa mwanakharamu mweeh!
 
Hizi mbwembwe tu ukichafuka umechafuka hadi uoge ndo unakuwa safi, kugagawa gazeti bure si njia sahihi ya kujisafisha kutoka kwenye makosa
Makosa gani wewe? Katika nchi inayozingatia utawala wa sheria na haki za watu kikatiba ni mahakama pekee yenye jukumu la kuwatia watu hatiani. Siyo wanasiasa! Manji kama raia yeyote anayejitambua anayohaki kuhoji tuhuma dhidi yake zinazotolewa kwenye media na sisi tuna haki ya kupata upande wa pili unasemaje.
 
Back
Top Bottom