Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,238
Jamani hv zile pesa zinazo pelekwa mashuleni kwa ajili ya elimu bure zimefikia wapi maana siku hizi sisikii tena taarifa zake
Nimesoma mchango wako #481 na huo hapo juu. Bado sioni tatizo la Ndulu liko wapi. Kama hii kodi imeitwa VAT lazima ishughulikiwe kama VAT. Sheria zetu zinadai hivyo na Gavana anachofanya ni kuwakumbusha. Kama serikali inataka mlipaji awe mtoa huduma za feza itabidi waangalie sheria zao na jinsi ya kutekeleza hilo. Hata mimi ningefurahi makato hayo yakilipwa na watoa huduma kama sheria zilizopo zinaruhusu au zinaweza kubadiishwa ili hilo lifanyike. Issue ya professionalism nimeileta kuunga mkono msimamo wa gavana wa kuongozwa na sheria badala ya kuongozwa na utashi wa wanasiasa ambao haupo kisheria. Na wewe hili umeliona na kulikubali ndiyo maana umeshauri hii kodi isiitwe vat itafutiwe jina lingine (#481).Hu
Kwa huo uprofessionalism wenu itabidi TRA nao walipe kodi kwa kodi wanayokusanya! Nilisema kwamba Sera zenu za kodi ni sawa na mtu anayetoa Pesa mfuko wa kushoto na kuzipeleka mfuko wa kulia halafu anajipongeza kwamba amevuna!
Hah hah hah hah, wametumia style ya Mbowe sio!!!???Haya,TRA wamebadili gia angani,wamegundua Ndulu alikuwa sahihi
Yaleyale ya kufanya kazi kwa mzuka.!Kuna mmoja anafanya kazi ya siasa na kaacha weledi na BoT naona wao siyo wanasiasa. Shame on TRA
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Hakuna sheria na kanuni (regulations) za kibenki zinazowakataza benki kuongeza tozo. Na VAT analipa mteja/mlaji. Au definition ya VAT imebadilishwa kwa Tanzania pekee duniani!!!!!Prof. Ndulu yuko sahihi!
Nakubaliana na wewe asilimia 100% Hakuna sheria na kanuni (regulations) za kibenki zinazowakataza benki kuongeza tozo. Na VAT analipa mteja/mlaji. Au definition ya VAT imebadilishwa kwa Tanzania pekee duniani!!!!!
Haya tunaelewa nani mkweli sasa...
Mkuu gavana kama hajatumwa hawezi kuongea uongo labda uwa sometime anaongea uongo anapotumwa...Kwani watu wanaelewa basi. Watu sasa matusi kwa Gavana.
Mkuu gavana kama hajatumwa hawezi kuongea uongo labda uwa sometime anaongea uongo anapotumwa...
Lakini so kwa haya ambayo yako wazi kabisa.....
Naona anajiandaa kujivua lawama tatizo likitokea ..Gavana anasema kweli. Si watu wameona tozo zimeongezeka na wao ndiyo wanalipa.
Lakini kipindi kile walimtukana huyu mzee wa watu. Leo tena kapishana na mkuu kwenye fixed deposit account bado wanampuuza.