Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,362
- 4,499
Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua?
Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui kinachoendelea, je ameachana na maswala ya kuunda magari au bado hajakidhi viwango? Au kuna ya gizani tusiyoyajua?
View: https://youtu.be/gaiH0-gLX64?si=YOoEeDpH6R6aIt9t