Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,380
Utakua hujui value vs prices
Bei ya kizalendo kabisa.Kula M 2
1 series 15 M? Mwaka gani??BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion.
Ina miezi saba tu toka inunuliwe
Kilometre 95,856
Engine capacity: 1590 CC
Engine type: Petrol
Colour: black
Seat capacity: 5
people, Milango mitano.
Kadi ya gari ipo
Bima ipo
Location: Temeke Mikoroshini
Tuwasiliane kwa 0744033555 tuma sms au piga simu nikutumie picha zaidi whatsapp
hajakatishwa tamaa kaambiwa ukweliDah watu wa humu wanajua kukatisha tamaa sana mmh! Kuna gari zinakuwa zimetunzwa vizuri na bado imara kuliko hizo namba D. Mimi mwenyewe nauza spacio yangu namba C na bado iko imara zaidi. Ila sitafuata hizo bei za kukatisha tamaa.
Ingekuwa hivyo basi barabarani tusingekuwa tunaona hata namba A, B, C. Kuna gari nyingine zina namba za zamani ila bado ziko vizuri kabisa. Ebu tuache kukatishana tamaa. Unapoongea maneno ya kuvunja moyo, wewe binafsi unafaidika na nini zaidi ya kumuharibia mwenzako bahati yake? Grow up