Gari Rav4 yenye namba T710 DGN imeibiwa usiku wa kuamkia leo

Hizi gari zinaibiwa sana...
Na ikitokea imeingia kwenye mikono ya wachaga ndio basi tena...
Cha msingi nenda K/koo gerezani kuna madalali wa magari kule
Nenda fire kuna madalali
Nenda temeke kwenye gereji bubu zile
Nenda tegeta kuna magereji bubu pia ulizia.
Unacho takiwa kufanya jifanye unataka kununua gari zenye specifications kama za gari yako.
Chako ni chako tu utaifahamu.
Pole sana mkuu.
mtu mwenyewe aliyeibiwa ni mchaga... labda na yeye aliliiba
 
Bwana mdogo...
Ungejua kuwa unamtukana aliyekuwa Padri wa Parokia la Itigi Singida.
Sasa sijui kanisani kwenu mnafundishwa kutukana Watumishi!!
Akikosa heshima atatukanwa tu padri kitu gani? Nguo nyeupe ndefu au hekima na busara?
 
Pole sana mkuu mi nakushauri siku nyingine ukinunua gari usiwe na tabia ya kupeleka carwash wakuoshee kisha unawaachia funguo halafu unakuwa umekaa pembeni unachati au unapata kilaji.

Wezi huwa na connection na watu wa car wash hivyo suala la kuchonga ufunguo huwa ni fasta tu wakati unasubiria gari yako wenzio wanachonga ufunguo upande mwingine na huujaribu hapo hapo kabla hujapewa gari yako sasa kinachosubiriwaga ni timing tu ndo hivyo unaweza kuibiwa gari yako popote pale utapokuwa umeipaki..

Tuweni makini,bora tuwe tunaosha magari yetu wenyewe majumbani kwetu kuepuka vilio vya kudumu kama hiki
 
Hapo sawa..
Kama ni pole kwa sababu ya kutafuta habari huku na huko sawa.
Lakini sio pole kwa sababu gari limeibiwa.
Gari sio lake. Hajatafuta yeye.
Ni gari la wazazi wake.
Pole wapewe wazazi. Sio yeye.
Mkuu huenda ndo ulikuwa urithi wake apewe pole tu.
 
Hapo sawa..
Kama ni pole kwa sababu ya kutafuta habari huku na huko sawa.
Lakini sio pole kwa sababu gari limeibiwa.
Gari sio lake. Hajatafuta yeye.
Ni gari la wazazi wake.
Pole wapewe wazazi. Sio yeye.
Mkuu vipi mmepishana jambo na mleta mada??
 
mdau ungeongeza nyama kwenye tangazo kama vile huo wizi umetokea mkoa gani, ktk mazingira gani na km kuna donge si vibaya kutaja.
 
Pole sana mkuu, wizi unakuacha na kidonda kisichopona. Usisahau pia kupita kwa madalali wa Kidongo chekundu, Sinza Catalunya nk. huko unaweza kupata mawili matatu.
Kwahiyo hayo maeneo unayoyataja wanauza magari ya wizi???? Acha kuzarau kazi zawenzako bwana.
 
Mkuu ijazie nyama thread yako.... Gari imeipiwa katika mazingira gani? Imeibiwa wapi?
 
Back
Top Bottom