piga simu mkuu udadavueSasa mbona hujaweka dau mkuu?
Pole sana Mkuu, walivunja kioo ndiyo wakaingia ndani ya gari? Hukuweka alarm mkuu?ukonga
nyumbani ikiwa imepaki usiku wa kuamkia leo...banana/kipunguni A
Hizi gari zinaibiwa sana...
Na ikitokea imeingia kwenye mikono ya wachaga ndio basi tena...
Cha msingi nenda K/koo gerezani kuna madalali wa magari kule
Nenda fire kuna madalali
Nenda temeke kwenye gereji bubu zile
Nenda tegeta kuna magereji bubu pia ulizia.
Unacho takiwa kufanya jifanye unataka kununua gari zenye specifications kama za gari yako.
Chako ni chako tu utaifahamu.
Pole sana mkuu.

Jamaa kasema gari sio yake...
Ni ya wazazi wake..
Huna haja ya kumwambia pole.
Sio kwamba ni wajinga ila maeneo niliyo yataja ni machimbo yao.Siamini wewe ni wajinga kiasi hiki, Mungu amsaidie alipate.
we jamaa ni wa kuhurumiwaHapo sawa..
Kama ni pole kwa sababu ya kutafuta habari huku na huko sawa.
Lakini sio pole kwa sababu gari limeibiwa.
Gari sio lake. Hajatafuta yeye.
Ni gari la wazazi wake.
Pole wapewe wazazi. Sio yeye.