peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,942
Unaishi Kenya?We kila siku unalalamika tu hunaga siku umepata Nafuu Mwaisa?
Msamehe bure, ndio wanachofurahia kwa sasa!Unaishi kenya?
Tunafungua nchiKazi kulalamika tu kila siku, beba jembe kalime, huu nao ni aina ya uvivu, piga kazi jomba malalamishi hayataingiza ugali kinywani mwako,
Rudi chato ukalichunge kaburi!!Tunafungua nchi
Chadema watabisha ila gari hilo TAKUKURU waamke nalo Kesho na mapemaRudi chato ukalichunge kaburi!!
Mimba ya chadema bado tu hujaingia labor, Chadema ndo siku hizi wanaendesha vituo vya polisi,Chadema watabisha ila gari hilo TAKUKURU waamke nalo Kesho na mapema
Wewe mwenyewe ni polisi mjinga bila rushwa huishiMimba ya chadema bado tu hujaingia labor, Chadema ndo siku hizi wanaendesha vituo vya polisi,
Wanakosaga makosa hawa? Kuna siku kanipiga mkono akatafuta makosa weee akakosa, akasema leta fire extinguisher nikampa akaanza kucheki kama ime expire, akakuta bado siku tatu akakimaa eti ni kosa na inatakiwa ikibaki mwezi mmoja nikaifanyie services nikamgomea kata kata...Traffic cases zipo kila siku .....we utakuwa mtumiaji wa frequent kwa hicho kipisi....hai-himo kwahyo huwezi kuwakimbia kama umewakariri ivoo.....wewe la Muhimu kamilisha kila kitu ktk chombo chako,kama speed limit ni 50 nenda 45-50....vaa mkanda zingatia mistari....uone kama watakuwa na time na wewe ...
Kila siku anawaone hapo barabarani kuu wakiwa kwenye Noah asubuhi hadi Jioni EFD inasoma zerosasa RPC anahusishwa vipi hap?
unajuaje inasoma zero?Kila siku anawaone hapo barabarani kuu wakiwa kwenye Noah asubuhi hadi Jioni EFD inasoma zero
sasa kama kosa halikosekani maama yake lipo.Wanakosaga makosa hawa? Kuna siku kanipiga mkono akatafuta makosa weee akakosa, akasema leta fire extinguisher nikampa akaanza kucheki kama ime expire, akakuta bado siku tatu akakimaa eti ni kosa na inatakiwa ikibaki mwezi mmoja nikaifanyie services nikamgomea kata kata...
Hii ilifikia wapi?Gari hiyo inatumika kubeba matrafic kuzunguka barabara kuu ya kutoka moshi mjini hadi Hai inakusanya rushwa na TAKUKURU Kilimanjaro wana Najua na wana Piga kimya.
Kuna Askari mama mfupi mzee kazi yake ni kupiga magari touch na kufanya makubaliano ya kuomba fedha.
Mashine ya EFD wanayotembea nayo ina Miezi mine haijaingiza fedha Za fain Hata sent tano na RPC Amepiga kimya.
Ninashauri gari hiyo iondolewe barabarani ikafanye kazi Za umma ikiwepo kubeba wagonjwa kuliko kinachofanyika Kwa sasa ni wizi na uonevu mkubwa.
TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Jaribu ni kufanya zoezi la kuwastukiza Askari hao wakiwa kwenye hiyo Noah wakati liwe mtakutana na mamilioni ya fedha Za rushwa ndani ya hiyo gari.