Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,402
- 1,268
Mbona ueleweki? Kama vile una chuki binafsi na Gadner.Halafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
Mbona ueleweki? Kama vile una chuki binafsi na Gadner.Halafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
Kwani kuna tatizo akimsifiaHalafu eti jana alikuwa anamsifia Malaika eti oohh umependezaaa. Hivi hajui kama yule ni mke wa mtu?
Wewe ndiyo ujifunze kuelewa mada. Issue ni Gardner kutumia 3000000 kwa mwezi wakati Clouds hawana scale ya mshahara huo. Lakini wewe unakuja kututajia mahahara wako uliowahi kulipwa. Uhusiano uko wapi sasa?Jifunze kutumia JF kwanza ndio utapata akili ya kuelewa content ya post za wenye akili.
Wewe ndiyo ujifunze kuelewa mada. Issue ni Gardner kutumia 3000000 kwa mwezi wakati Clouds hawana scale ya mshahara huo. Lakini wewe unakuja kututajia mahahara wako uliowahi kulipwa. Uhusiano uko wapi sasa?
Wapi nimeandika laki 3 kwa siku? Hivi unajua kusoma kweli kakangu?Mara laki kwa siku mara laki 3 povu linakutoka.
Nani kakwambia clouds wana scale moja ya mshahara?
Hivi unajua Masoud Kipanya analipwa kiasi gani?
Acha chuki za kijinga, Gadna anafanya maisha yake mlifikiri akiondoka kwa bibi atafeli sasa maisha yake yanamuendea poa inawaumiza.
sawa lkn si tunaangalia na kazi anayofanya? kwa utangazaji wa redio ni muongo, anatafuta kiki tu mjn100,000?kahela haka sio kakuongelea kwa siku kwa mtu wa mjini?
YallaaaaaahMimi sio kaka yako.
Nna uwezo wa kukukojoza ata 48 hours mfululizo.
***LAKI si pesa
Wapi huko mkuu, tupeane hata nafasi mbona mnakula shavu pekeenuTafuta exposure dogo uwezi kuipata huko Kariakoo.. Mshahara wa milioni 3 unaona mwingi?
Mimi niliipwa huo nikiwa junior position kipindi hicho.
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2[/QUOTE][QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.
Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.
Utakuwa wakishua tu otherwise kuna dhambi unafanyaMbona mi sina kazi ila natumia laki 5 kila week
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.
My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Dhambi gani mfanooUtakuwa wakishua tu otherwise kuna dhambi unafanya
Demu ndio nini/nani? Unaandika as if wote tuna rika moja humu!Acheni sifa, eti laki sio pesa mmetisha sana .......wakati kumpa hela demu wako hata elfu 50 tu ya matumizi utalalama weee na utakuja mpaka jf kulalamika kuwa demu wako anapiga vizinga..grow up guys