Gambia's Yahya Jammeh 'agrees to step down' and will leave the country

In a speech broadcast on state TV, Jammeh said, “My decision to step down wasn’t dictated by anything but in the interest of the people of Gambia. All this while, as a Muslim and a patriot, I believe it is not necessary that a single drop of blood be shed.
 
Was he not a Muslim when killing his opponents/Je hakuwa mtu wa DINI ya Kisilamu alipokuwa anawauwa wapinzani wake?
Uongo. Jamaa ALILAZIMISHWA.

Maana ilifika mahali JESHI lilimwambia
"kama utang'ang'ania madaraka sisi wanajeshi HATUTAKUUNGA MKONO"
Alikataliwa baada ya kushindwa.
Asiingize dini hapa!
 
Kwa nini kwenye kicha chako cha habari unasema ni Rais mstaafu?
 
Was he not a Muslim when killing his opponents/Je hakuwa mtu wa DINI ya Kisilamu alipokuwa anawauwa wapinzani wake?
Uongo. Jamaa ALILAZIMISHWA.

Maana ilifika mahali JESHI lilimwambia
"kama utang'ang'ania madaraka sisi wanajeshi HATUTAKUUNGA MKONO"
Alikataliwa baada ya kushindwa.
Asiingize dini hapa!
ni kweli kabisa mkuu
 
Sijui shibe za ikulu zinawafanya waishio huko kupoteza kumbukumbu, ...si chini ya mwezi mmoja alisikika akitamka kwamba endapo yeyote atajifanya 'kuleta vurugu' atatembea juu ya maiti kuelekea ikulu!?
Sasa hivi hilo la US $11m ni cha mtoto, ngoja waliopotelewa na ndugu wakiwa na ushahidi waje ndipo mtazijua rangi halisi za huyu bwana. Let him go
Jan-23-17-Now-Jammeh-To-RULE-for-a-Billion-year-1024x724.jpg
 
Back
Top Bottom