Fursa ya kushirikiana katika kutafuta Masoko ya Bidhaa zako

DALALI MKUU

JF-Expert Member
May 7, 2022
1,971
4,651
Je, wewe ni mzalishaji wa bidhaa au unamiliki duka la jumla na unatafuta njia bora ya kuongeza wateja wa uhakika kwa bidhaa zako?
Ninakuleta suluhisho thabiti!

Ninajitokeza kama wakala wa masoko na dalali wa bidhaa, nikiwa na nia ya dhati ya kukusaidia kufanikisha malengo yako ya biashara. Nina uwezo wa:

Kuwatafutia wateja wa rejareja kwa bidhaa zako kama wewe ni mmiliki wa duka la jumla.

Kuwatafutia wateja wa jumla kama wewe ni mzalishaji wa bidhaa viwandani.

BIDHAA NINAZOWEZA KUKUNGANISHA NA WATEJA NI

Bidhaa za chakula: Mchele, unga wa ngano, unga wa mahindi, sukari, mafuta ya kupikia, vinywaji baridi, Pombe,n.k

Bidhaa za matumizi ya nyumbani: Sabuni za kufulia, sabuni za kuogea, shampoo, mafuta ya nywele, dawa za meno, na bidhaa za usafi.

idhaa za viwandani: Saruji, rangi, vipuri vya magari, vifaa vya umeme.

Mavazi na vifaa vingine: Nguo kofia, sare za kazi.

Kwa Nini Ushirikiane Nami?

Mtandao Mpana: Ninayo mtandao mpana wa watu binafsi na wafanyabiashara katika sekta mbalimbali.

Uzoefu: Nina ujuzi wa kutafuta masoko, kushawishi, na kujenga mahusiano bora ya kibiashara.

Kuongezeka kwa Mauzo: Ninahakikisha biashara yako inapata wateja wapya kila siku.

Matokeo ya Haraka: Ninazingatia juhudi za haraka na zinazolenga mafanikio yako.

Mshirikiano Jumuishi: Ninafanya kazi kwa ushirikiano wa karibu na wewe kuhakikisha huduma yangu inakidhi matarajio yako.

Jinsi Tunavyoweza Kushirikiana

  • Tukubaliana kuhusu bidhaa zako na soko unalolilenga.
  • Nikutafutie wateja kwa kutumia mbinu za kisasa na za moja kwa moja.
  • Tuimarike pamoja kwa kukuza biashara yako!
Ikiwa uko tayari kupanua wigo wa biashara yako na kufikia wateja wapya kwa urahisi, tafadhali wasiliana nami leo PM nitakupa Mawasiliano yangu.
 
Mkuu nitafutie center nzuri ya kuweka mashine ya kusaga na kukoboa mahindi kwa Dar es salaam...tutalipana
 
Back
Top Bottom