FURSA NZURI YA INCLUSIVE FX inakupatia faida kila siku kwa kuwekeza kiasi kidogo cha pesa bila kufanya kazi yoyote

Ofisi zipo wapi (physical address)? CEO anaitwa nani?, Fedha "inayowekezwa" inakwenda kufanya shughuli gani kuwezesha kumlipa kila member kwa siku zote iwe jua au mvua?, Kampuni imesajiriwa wapi? Siku ikipotea hewani (wakizima mitambo) wahanga wapo protected namna gani na watakwenda kudai chao wapi/kwa nani?

Za kuambiwa changanya na za jirani yako!
 
Kama huo mfumo una hela na unatoa hela kiasi hicho. Then ninauhakika usingekuja hapa kutuambia. Hii ni kanuni ya utajiri, ni ngumu sana upate chanzo rahisi cha pesa ati ukaamka tu na kuja kuwaambia watu kuwa unataka kushare nao huo utajiri kirahisi rahisi hivyo. Hiyo ni big no....

Kama hiyo dili ni kweli wapelekee vikoba na mabenki wanahela za wanachama watawekeza hapo ili iwalipe kila siku.....

Kukalia kutafuta njia za kutapeli masikini kila siku na kujitafutia malaana yasiyo na mbele wala nyuma.
 
Sijui ukichoma acount FX utawalipa nini hawa watu.
Au broker wako unamwamini sana?.
*MAELEZO YA FURSA YA INCLUSIVEFX.COM*


*Unachotakiwa ni kuwa na mtaji wako kuanzia dollars 50$ yaan sh.130000/= na kuendelea na watakulipa kila siku asilimia 1.6% hadi asilimia 2% ya pesa ambayo umewekeza. Kwa mfano soma hapa chini👇👇👇👇👇👇👇*



✅ Ukiwekeza 130000/= watakulipa sh. 2080 kila siku. 👈

✅Ukiwekeza laki mbili watakulipa sh. 3200 kila siku

✅Ukiwekeza sh.260000 watakulipa sh. 4160 kila siku.

✅Ukiwekeza Laki nne watakulipa sh.6400/= kila siku


✅Ukiwekeza laki tano watakulipa 8000 kila siku

✅Ukiwekeza milion moja watakulipa sh. 16000/= kila siku.

✅Ukiwekeza milion mbili watakulipa sh. 32000/= kila siku

✅Ukiwekeza million tatu watakulipa sh.50000/= kila siku.

✅ukiwekeza million nne watakulipa sh. 66000/= kila siku.

✅ukiwekeza million tano watakulipa sh. 82500/= kila siku.

✅ukiwekeza million sita watakulipa sh. 99000/=

✅Ukiwekeza million nane watakulipa sh. 132000/= kila siku.

✅ukiwekeza million kumi watakulipa sh. 165000/= kila siku.

✅ukiwekeza million ishirini watakulipa sh.330,000/= kila siku.

✅ukiwekeza million thelathini watakulipa sh. 510,000/= kila siku.

Kumbuka kadri unavyozidi kuongeza mtaji na malipo. yanaongezeka,, mkataba ni siku 125, 130, 140 na siku 150. Unaendana mtaji uliowekeza. , Malipo ni kila siku j3 hadi ijumaa. KARIBUNI SANA INCLUSIVEFX.COM. fursa ya uhakika *IPO TOKA MWAKA 2016*
*kwa mawasiliano zaidi piga/text/whatsapp no: 0754921797/0652990222*
NB: wale waliokua interested tu
 
Nimeshataja apo inclusive fx au inclusive forex je hujui forex ni nini?
ndugu wewe ni mgeni sana hapa JF na nadhani pia ni mgeni kwenye biashara ya FOREX, kwa taarifa tu kabla ya kuanza kupost ukidhani JF watu ni mazuzu hebu jaribu kufanya ka utafiti kadoogo mada zinazoendana na yako hapa Jamvini.

Forex sio kitu kigeni hapa JF ilianza tangu enzi za Ontario na sidhani kama unamjua hata. 😄 😄 😄,
pia hakuna bishara inayolipa tuuu hakuna hasara, forex ingekuwa inalipa kama unavyojinadi hapa kwa nini utafute pesa za watu wengine???????? wakati unaweza kukaa tu mbele ya monitor yako ya pc ukacheza na indicator ukapiga pesa???
 
asante kwa reply lakini ni vyema ungefanya utafiti kabla ya kucomment nina mashaka ata hujui nini maana ya forex kwahiyo ni ngumu sana kuelewa. Fuatilia kwanza jambo kabla hujasema chochote huko ndio kujua
Kwanza karibu sana jukwaani

Pili usituletee upuuzi wako ukadhani wewe ndio wa kwanza kuuleta hapa jukwaani
Walikuja wenzako mafundi kweli kweli wa kueleza na kushawishi na sio wewe unapost kitu kinaonekana ni as if kuchukua maji ukachemsha na kuweka majani ya chai na sukari then ukapata chai
 
Huo mfumo wenu ungeufafanua kidogo, cuz kama MTU ana invest halafu anakuwa anasubiri kuchukua hela tu bila kufanya efforts,maana yake kuna manager(s) wanamsaidia hiyo kazi ya kufanya analysis na kufungua position, ni suala zuri kama unapata manager mjuzi wa kufanya hili.
Sasa issue ni kuwa haujagusia policy yenu ikoje incase mmepata hasara kubwa since forex ni very high risk business.Tujuze
Kingine kupata trust ya watu ungesema mko registered wapi na mnakuwa regulated wapi,ili watu wafatilie kujiridhisha.
Shukrani, I hope nitajibiwa kiungwana hata kama nimekosea
 
*MAELEZO YA FURSA YA INCLUSIVEFX.COM*


*Unachotakiwa ni kuwa na mtaji wako kuanzia dollars 50$ yaan sh.130000/= na kuendelea na watakulipa kila siku asilimia 1.6% hadi asilimia 2% ya pesa ambayo umewekeza. Kwa mfano soma hapa chini*



Ukiwekeza 130000/= watakulipa sh. 2080 kila siku.

Ukiwekeza laki mbili watakulipa sh. 3200 kila siku

Ukiwekeza sh.260000 watakulipa sh. 4160 kila siku.

Ukiwekeza Laki nne watakulipa sh.6400/= kila siku


Ukiwekeza laki tano watakulipa 8000 kila siku

Ukiwekeza milion moja watakulipa sh. 16000/= kila siku.

Ukiwekeza milion mbili watakulipa sh. 32000/= kila siku

Ukiwekeza million tatu watakulipa sh.50000/= kila siku.

ukiwekeza million nne watakulipa sh. 66000/= kila siku.

ukiwekeza million tano watakulipa sh. 82500/= kila siku.

ukiwekeza million sita watakulipa sh. 99000/=

Ukiwekeza million nane watakulipa sh. 132000/= kila siku.

ukiwekeza million kumi watakulipa sh. 165000/= kila siku.

ukiwekeza million ishirini watakulipa sh.330,000/= kila siku.

ukiwekeza million thelathini watakulipa sh. 510,000/= kila siku.

Kumbuka kadri unavyozidi kuongeza mtaji na malipo. yanaongezeka,, mkataba ni siku 125, 130, 140 na siku 150. Unaendana mtaji uliowekeza. , Malipo ni kila siku j3 hadi ijumaa. KARIBUNI SANA INCLUSIVEFX.COM. fursa ya uhakika *IPO TOKA MWAKA 2016*
*kwa mawasiliano zaidi piga/text/whatsapp no: 0754921797/0652990222*
NB: wale waliokua interested tu
Sasa ww dogo Ontario kwann umeamua kufungua ID mpya tena kwa jina LA kike?
 
Pyramid scheme at its best! Baada ya muda watu wakilizwa ndio polisi wanaingilia, ama kweli criminals are always ahead of the police. Ukisikia shughuli ya kupata pesa bila kufanya kazi, jihadhari sana.
 
Back
Top Bottom