Furahia Internet Bila Modem

1.Chukua smartphone yako au tablet/phablet then nenda kwenye "settings","Click "More..."
2.Click "Tethering and portable hotspot" then W-ifi -hotspot utaiona sehemu ya kuweka password yako
4.Weka ON hapo kwenye 'Wifi-hotspot' then ENJOY!
Kwani hiki ni kitu kipya? Mbona ndiyo maisha yetu ofisini yanavyosonga kama wired network inakuwa na tatizo?
 
Kwani hiki ni kitu kipya? Mbona ndiyo maisha yetu ofisini yanavyosonga kama wired network inakuwa na tatizo?
Kwani kila mmoja huwa anakuja ofisini kwenu? Kwa hiyo kama wewe umefundishwa ofisini kwenu hutaki wengine wajue? Kama wewe unajua pitiliza tu kwenye hii thread.Mimi ninaelimisha those who deserves.
 
Jamani tumsamehe bure tu alikuwa ajui ukiangalia page yake ndio kaja Jamii forums hivi majuzi tu.
 
BRAZA HILO TU UNAJIITA GENIUS DUUH HIYO MBONA KILA MTU ANAJUA TOKA SMARTPHONE ZILIPOKUJA...!!
Nani kakwambia jina "Genius one" limetokana na thread hii? Usi-generalise eti kila MTU anajua. Who told you? Ndio ulichojifunza shuleni kuwa na fikra za aina hiyo? Duu our country has a great burden.
 
Jamani tumsamehe bure tu alikuwa ajui ukiangalia page yake ndio kaja Jamii forums hivi majuzi tu.
Wewe ndio tukusamehe bure maana roho yako imejaa choyo na ubinafsi.Sasa kama kitu unakijua kwanini unasoma? Kwanini Usipite zako? Kwani kila kitu lazma uchangie? Watu wanajiunga na forums mbalimbali duniani daily including JF .Where is the problem? Hoja za kitoto don't waste my time.Peace!
 
Punguza povu, fanya tathmini tu fupi katika post yako wa ngapi wamekushukuru kwa kuwa fungua macho? Hayupo kwa kuona hivyo utagundua post za kufundisha watu juu ya tethering ni nyingi sana mpaka imefika wakati imekuwa common knowledge katika hili Jukwaa..

Kama watu wenye experience tusikilize, kabla ya kufungua mada search kama aijawaposted. maana mada hii imewekwa sana na kuna watu wamecover better than even yourself.
 
Unataka nikwambie idadi ya walionishukuru so what? And who are you by the way? Hizo ni akiri za mkopo.Kwa hiyo wewe ulijiunga na forum hii ili utafute sifa? Pole!
 
So this is how Huey felt when he uttered these words.

99a08c8dc3124c1594b647e7abc23592.jpg

Lugha za watu hizi jamani, tuzitendee haki.
Kweli asee....maana matus mengine yakiandkwa kwa lugha ya kiswahili yanakua makubwa makubwa na mngn hvyo hvyo yakiwa kwa kizungu, lkn hii hua vice versa

Lengo langu; usimtumtukane mtu ukadhan kwamb hajaelewa au wngn hawataon uzito wa tusi et kwa kua umetukana kwa Kingereza KUMBUKA Dhambi ni ile ile....#Peace!!!!!
 
Kwani kila mmoja huwa anakuja ofisini kwenu? Kwa hiyo kama wewe umefundishwa ofisini kwenu hutaki wengine wajue? Kama wewe unajua pitiliza tu kwenye hii thread.Mimi ninaelimisha those who deserves.
Acha ubishi wewe, au tukuwekee link za mwaka jana zilizozungumzia kitu hiki? Fungua hapa:

Nawezaje kutumia Tethering and portable hotspot?

Sasa hivi watu wanazungumzia application za tethering, wewe bado unaizungumzia tethering yenyewe! Soma na hii:

Jinsi ya kutuma mafile kwa kutumia WIFI from any laptop to your smartphone
 
mi sijakuelewa,kwa laptop inawezekana bila modemu kweli?
labda unipe ujanja wakuifanya modem yangu ya voda itumie laini zote.
.pls msaada tafadhari.
 
Kwa hiyo? Sasa kwenye hii thread unatafuta nini wakati wajua nyingine zipo? Kwanini usibaki huko? Hivi hizo links/ threads unaona zime-cover every angle? Siku nyingine jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kupost.
 
mi sijakuelewa,kwa laptop inawezekana bila modemu kweli?
labda unipe ujanja wakuifanya modem yangu ya voda itumie laini zote.
.pls msaada tafadhari.

Ndiyo inawezekana.Rudia kusoma toka mwanzo mwa hii thread nimeeleza steps zote.Fuata hizo steps,ukikwama just tell us wapi umekwama ili usaidiwe.
 
Kuelimika ama kujifunza kitu ni juzi, jana, leo na kuendelea. Inategemea na kizazi na wakati. wakati mwingine hata teknolojia.
Kwa mfano: utaratibu wa reboot pc na kuingia kwenye desktop bila kufungua windows hufahamika kwa watu wachache. (utaratibu huu hutumika pale window inapokuwa ime corrupt na mtu anakuwa hana uwezo kabisa wa kuwasha PC yake na windows recovery option zote zimeshindikana! ila mtu anataka tu kuokoa documents zake zilizo kwenye desktop ya computa yake ambazo zitapotea kama ataformat au kuweka window nyingine)

Sasa ikitokea mtu akapost maelekezo namna ya kufanya, wapo watakaosema "hii mbona ni kawaida tu ya siku zote" na wakati huo huo jambo hili litakuwa geni kabisa kwa watu wengine na watajifunza na itawasaidia sana!

Sasa basi, mtu anapoweka maada ambayo kwako sio ngeni, usione kama anapoteza muda, wako wachache ambao hawaelewi. na itawasaidia.

CHA MSINGI NI KUHESHIMU TU MAWAZO YA KILA MTU MAADAMU HAVUNJI SHERIA WALA HAKIUKI MAADILI.
 
Innomatheu umeongea vzr. Sio kweli ati wewe ukijua kitu basi wote wanajua.wenye kuelimika huelimisha.Bali wanaojua bila kuelimika ni shida ktk jamii.
Nashangaa watu wanaanza kutajiana mambo ya ofisini kwao.....so what?
Personally nawashukuru sana wadau wote wanaotupa maujanja hapa jf.
Na ndo maana kuna jukwaa hili. Wewe ukiona hatari sisi tukifundishwa kaa kimya. Haikugharimu chochote,wala mleta uzi hajakuomba chochote
 
Ubaya wa kusoma kwa kuungaunga unakufanya uone elimu ni kama sehemu za siri...hutaki kuelimisha wenzako.
Unatokwa na mapovu kuona kitu ulichokisotea wenzako wanatoa freely ......
 
Back
Top Bottom