Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 18,915
- 47,698
Nikajua umeweka hizo takwimu zinazosema hazivuki Bahari.
Wewe acha ujinga,TRA sio wakala wa SMZ,pesa zote zinaingia Hazina migao inaanza.
Mwisho kama haziingii,Zinaenda wapi?
Wewe kweli hamnazo.
Toka kale hakuna pesa inayokusanywa na TRA Zanzibar ilivuka kwenda BOT. Huwa inabakia Zanzibar kugharamia mambo ya Muungano. Na bado huwa ni kidogo sana, hivyo Tanganyika kulazimika kuongezea.