Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,053
- 24,807
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO.
1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa ajili ya Wazanzibar tu, Yaani fedha ya Tanganyika inatumika HESLB ambayo imekusanywa na TRA huku Tanganyika inakwenda Zanzibar kuhudumia mikopo ya Elimu ya juu,
2. Kumbuka kwenye makusanya ya TRA YA Tanganyika ukienda kwenye website yao hakuna eneo la Zanzibar, TRA uwa wanatoa maeneo wanayokusanya kodi, Zanzibar haipo, kwa sasa Zanzibar ina TRA ambayo inakusanya huko Zanzibar na mapato yao wanatumia huko huko, Sasa kwa nini tunawapa hela ya Elimu ambayo huku ni Mkopo kwao sio Mkopo ? hata ukiachia mbali kwamba fedha ya Tanganyika ya Makusanyo inatumika kwenye Elimu huko kwa huku ni Mikopo na kwao sio Mikopo kwa nini? Cha pili kwa nini tunahudumie elimu ya Zanzibar na sio suala la Muungano
3. Cha Pili Wazari wa Fedha wa Zanzibar amesema kwenye Club house kwamba Zanzibar kwa sasa ina Bajeti ya 2.8 Trillion, lakini Tanganyika aka Muungano tunachangia hiyo bajeti ya Zanzibar kwa 9% , zamani sisi tulikuwa tunachangia 4.5% ya bajeti ya Zanzibar, Hii ni sheria inahitaka Tanganyika kuchangia 4.5% kwenye bajeti yoyote watakayo andaa zanzibar yaani watu 1.5millioni wanapewa fedha za upande mwingine bila sababu yoyote ila eti sababu ya Muungano ? Hivyo bajeti ya sasa tumelipa Billioni 250 kwa Zanzibar kama posho ya Muungano
4. Kuanzia 2022 hiyo 4.5% imebadilishwa na serikali ya Samia sasa watapewa 9% ya bajeti yao na Tanganyika, Yaani leo Zanzibar wakija na baketi ya Trilioni 11 sisi Tanganyika itabidi tuuze figu ili tuwapatie wao trillioni 1 wakatumie ,Kumbukeni sio mkopo hii ni fedha tunaipa Zanzibari kama kudumisha ndoa ya Muungano, Tanganyika inalipa fedha au inaonga Zanzibar fedha kwenye bajeti yao
5. Kwenye mikopo , tukipata mkopo Zanzibar inakuwa 4% ya mkopo na Mkopo unalipwa na Tanganyika wote kama ulivyo sio kwamba 4% inatoka Zanzibar, Lakini pia Zanzibar wanachukua mikopo kutoka nje mfano juu wa billion 400 kujenza hospital waliochukua Korea huu nao unalipwa na Tanganyika , Kwa sasa Kila ukiona Zanzibar imechukua mkopo jua hiyo ni posho ya Muungano italipwa na Tanganyika, kuna Lugha wanatumia na kusema sisi ni Guarantor , sasa watuambiwa Deni la Zanzibar waliotumia huko Zanzibar ni kiasi gani toka 1964 na toka wakati huo wamelipa kiasi gani cha madeni yao na wanadeni kiasi gani kama wanajua
6. Kumbe tumechezewa hivi sio ardhi yetu tu tumetoa kwa Wazanzibar hata mikopo tunalipa na tunahudumia ulinzi, tunahudumia pia elimu ya watu wa Zanzibar kama posho ya Muungano
7. Kumbukeni haya maneno ya kutolipa deni na kwamba inalipa Tanganyika ni maneno ya Waziri wa fedha wa Zanzibar
8. Na sasa Bi Kizimkazi ameongeza bajeti huko tunachangika 9% toka mwaka juzi, na hii imeongezeka kutoka 4.5% baada ya majadilio kati ya Mwinyi na Samia kwa ajili ya Government Budget Support, na anaye Support hiyo Budget ni Tanganyika
Sasa ukisema kila mikoa yenye watu idadi sawa na Zanzibar tungekuwa mbali, lakini pia kwa nini sasa CCM wanakataa serikali za Majimbo, wakati Zanzibar inafuta mkwanja kutoka Tanganyika, Ongezeko la 9% linatokana na maagizo ya Samia
Halafu tunaambiwa huyu mama sio mbaguzi, amebadilisha mpaka makubaliano kutoka 4.5% japo hata hii 4.5% ni ukora tu kwa nini Tanganyika itoe hela kwa Zanzibar ?