Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
54,323
122,955
Wanabodi
Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika.

Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.

Paskali
 
Nani anaharibu AMANI, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani MFUMO wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
 
Wanabodi
Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.

Paskali
Asante kwa kutuletea habari ngoja tusubirie iy kesho tuone izo Sheria zilizo rekebishwaa....
 
Hayo mamlaka ya kutunga, kurekebisha au kutunza sheria raisi anayotoa wapi.

Raisi hana mamlaka ya kuongelea sheria mpya.

Wizara zinaweza tunga bylaws (regulations) kutokana na sheria zilizopitishwa na bunge for admin purposes.

Lakini raisi wa Tanzania hana mamlaka ya mambo ya sheria.

Embu mpeni huyo mama washauri sahihi
 
Wanabodi
Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.

Paskali

Nilifikiri sheria zote lazima zipitishwe Bungeni. Ama siyo hivyo?

Kama ni hivyo zimepitishwa lini? Au ametuandikia kwa mapenzi yake na mtazamo wake?
 
Wanabodi
Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.

Paskali

Okay sawa.
Lakini swali ni kwamba: Je, msukumo wa kufanya jambo hili unaambatana na nia njema au kuna nia ovu kuhusiana na suala hili?

Kama nia ni njema, basi hakuna tatizo, lakini endapo kama nyuma ya pazia kuna nia ovu, basi tutarajie 'the worse to come,'

Aliyewahi kuwa Rais wa nchi ya Marekani Bw. Thomas Jefferson kuhusiana na suala hili la Kutunga Sheria Kandamizi kwa nia ovu ya kuwakomesha au kuwalenga Watu fulani fulani hivi alitoa angalizo na kusema kwamba "When injustice becomes Law resistance becomes duty."
Daima Umma huwa una kawaida ya kupinga na kupambana na Sheria zozote zile ambazo ni Kandamizi bila ya kujali gharama yoyote ile watakayokumbana nayo.

Aidha, uzoefu kutoka duniani kote kabisa unaonyesha kwamba Umma haujawahi kushindwa pale wanapoamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kutekeleza jambo fulani.
Hili ni angalizo!
 
Wanabodi
Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari.

Paskali
Na katiba ikiwemo au katiba wanaiogopa kuirekebisha maana itawazuia kuiba?
 
Back
Top Bottom