steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,587
- 12,170
- Thread starter
- #21
Hahahahahaa namuonea huruma jamaa natamani hata asiweke picha maana atajuta.
Mie nipo pembeni hapa na popcorns.
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,najua tu wakuda mpo,mie naziweka hapa nione mafundi wataniambiaje na likipona nakuja kutoa testimony hapahapa