20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,182
- 7,179
Ni tag kwenye hiyo madaUmenipa changamoto nitafanya hivyo
Ni tag kwenye hiyo madaUmenipa changamoto nitafanya hivyo
Mkuu kwa nilivyokuelewa ni kwamba umeomba upate somo la jinsi ya kuzitunza roho zetu. Na suala la kuhusu roho ni la kiimani kutoka kwenye hizo dini,ndipo nilipo uliza tu kwa kutaka kujua hilo somo unalotaka(jinsi ya kutunza roho zetu) liwe tofauti na hizi dini litapatikana vp?inaonekana umeelewa kila kitu kasoro comment yangu. rudia upya utaelewa.
Hahaha, kimbilio kwa mwalimu wa hisabati maana alikua anaishi Karibu na shule, ikabidi aweke mafuta ya taa kwenye kaptura kuondoa mnaso wa Big G![]()
![]()
...enhee.. ikawaje mkuu..?
Ahahaha inamaanisha alikuwa hajui ngumi nn, au kisa ni Jr unamchukulia poa!Hahaha, kimbilio kwa mwalimu wa hisabati maana alikua anaishi Karibu na shule, ikabidi aweke mafuta ya taa kwenye kaptura kuondoa mnaso wa Big G
Hivi lini umeona hao jamaa wamekuja na data?wao wakija hapa kazi yao ni rahisi watasema hakuna roho leteni uthibitisho basi hapo washamaliza.Nasubiri kusoma maoni ya wasioamini uwepo wa MUNGU.bila shaka wanakusanya data za kutosha ili waje nazo kuharibu mada.
Hamna mkuu ye mapambano yake yalikua academically zaidi, alikua anawapiga punch kwenye pepaAhahaha inamaanisha alikuwa hajui ngumi nn, au kisa ni Jr unamchukulia poa!
Hivi lini umeona hao jamaa wamekuja na data?wao wakija hapa kazi yao ni rahisi watasema hakuna roho leteni uthibitisho basi hapo washamaliza.
Mwanadamu anatoka na maneno mawili Mwana-damu. Ukitizama utagundua kuwa kuna neno damu. Maandiko matakatifu katika biblia inaeleza kwa uwazi kuwa uhai wa mwanadamu u katika damu (Sitajadili hili kwa undani). Mwanadamu kwa lugha ya kiingereza anaitwa 'Human' nayo imetoholewa kutoka neno la kiyunani 'Humus-man' (Humus means made of organic material such as decayed leaves and plants). Kwa maana rahisi ni kuwa mwanadamu bila kuwa na roho ni mwili pekee na mwili pekee bila roho unaharibika. A human is a dead body with a spiritual being. Without a spiritual being we call it a humus or a dead body. Nawasilisha![]()
![]()
Najadili kwa muktadha wa kiimani,
Kwanza kabisa nafikiri hakuna mahali popote kwenye Misahafu ya kidini palipotaja ni udongo gani ulitumika kumuumba kiumbe mwanadamu, kwamba ulikuwa mfinyanzi au upi, vile vile ni kwanini mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu na wanyama ikatamkwa tu na wakatokea lakini wote wana mifupa nyama na damu.
Lakini vile vile kwenye uumbaji huo wa kutumia udongo je hakuna malighafi nyingine ambayo ilitumika kwenye uumbaji? Kwa mfano vitu kama nywele kucha meno nk nk....Uumbaji una siri kubwa..hili litahitaji muda wake tofauti.
Roho ambayo ndio uhai ndio uzima ndio pumzi ni kitu kisichoonekana kwa macho wala hata kwa darubini kali , ni nishati yenye nguvu ya aina yake..na kamwe roho haifi
Mwili bila hiyo nishati roho si chochote na kamwe haukawii kuoza na kuharibika kabisa.
Roho hii ndio uhai wa kila kitu duniani, yaani kuanzia mimea wanyama wadudu na hata vitu vya kutengenezwa na binadamu kama meli madege makubwa kabisa yanayoelea angani magari mitambo na kila kitu cha kushangaza na kustaajabisha.
Hakuna ithibati hata ya kisayansi inayotoa nguvu ya mtambo wowote uweze kufanya kazi sana sana utapewa formula za umeme mfumo wa mafuta mpangilio wa vyuma nk nk lakini mwishowe ile nguvu inayofanya mtambo uweze kunguruma...fumbo liko hapa.
Pumzi ile aliyopuliziwa mwanadamu na kuwa hai ndio pumzi hiyo inayofanya kazi duniani kote na kwenye kila kitu hata ukute mtambo au mashine gani ambayo ni full automatic haikosi mkono wa mwanadamu na hii ndio pumzi husika ya uhai
![]()
![]()
Tofauti iko hapa mwili hufikia tamati yake baada ya mchakato mrefu lakini kitu cha kutengeneza hubaki kilipo na kama haitatokea nguvu ya kukisogeza kitabaki hapo kikiendelea kufa taratibu hata kife kabisa na kuingia kwenye mzunguko mwingine maisha na uumbaji bila kujali tutapata ukweli kiasi gani kuhusu fumbo la uumbaji roho na mwili uharibikao.
Tuitunze na kuisoma roho zaidi kuliko mwili kwa kuwa ni kutoka katika roho ndio uhai wa kila kitu kilichopo juu ya uso wa dunia hutoka humo.
![]()
Sio kwamba ni msuli tembo matokeo nzi!??Hamna mkuu ye mapambano yake yalikua academically zaidi, alikua anawapiga punch kwenye pepa

Hahaha, ni mtu mmoja mwenye falsafa ya kujiandaa kimpambano nje na ndani ya uwanja kanakwamba anaweza ingia na vyabo vyakutosha akavitia hata kwenye lux za kaptura usimsanukie. Very creative person indeedSio kwamba msuli tembo matokeo nzi!??
Wana falsafa yao kwamba "ni hatar sana kuingia na vyabo kwenye paper,lakini ni hatar zaidi kutokuingia navyo"Hahaha, ni mtu mmoja mwenye falsafa ya kujiandaa kimpambano nje na ndani ya uwanja kanakwamba anaweza ingia na vyabo vyakutosha akavitia hata kwenye lux za kaptura usimsanukie. Very creative person indeed
Wana falsafa yao kwamba "ni hatar sana kuingia na vyabo kwenye paper,lakini ni hatar zaidi kutokuingia navyo"![]()
Angalia hapo kuna vitu viwili hapo wewe na roho yako ukamilifu wa huyo wewe ni muunganiko wa vitu vitatu roho nafsi na mwiliSawa roho haifi kabla ya mie kuwepo roho yangu ilikuwa wapi? Na Nikita roho yangu itakuwa wapi hebu kaka nifafanulie hapo
Kwahiyo bado ni pale pale kwamba roho ya/za kwanza ndio asili ya uhai wote wa dunia hii hata kwa vile visivyo na roho kwa maana ya damu na pumziHaya ni maoni yangu binafsi kuhusu roho,hayapatikani kwenye kitabu chochote cha kidini wala kisayansi.unawaweza ukayapuuza kama utajisikia kufanya hivo.
nafikiri aliyewaumba wazazi wetu wa kwanza yaani Adam na hawa,aliwawekea uwezo wa kufanya cloning ya roho kupitia tendo la ndoa.
Yaani wakati unafanya tendo la ndoa na mkeo na kumdungisha mimba,zile manii licha ya kwamba zinasafiri na chembembe nyingi za kibinadamu lakini pia zinasafiri na uambikizo wa roho toka kwa baba kwenda kwenye tumbo la uzazi wa mama na kwa mama kwenda kwa mtoto anayezaliwa.
Ile roho inakaa ndani ya mtoto mpaka anazaliwa na mpaka anapokuwa na uwezo wa kujitambua kuwa yeye ni binadamu.