FT: Tabora Utd 0-3 Simba SC | NBC PL | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02 February 2025

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,488
3,809
Ubaya Ubwela.

Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?

Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.

Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
 
Nani kawaahidi hiyo 50m?
 
IMG_5174.jpeg
 
Leo yupo yule refa mwanadada mhando ashasetiwa kutoa zawadi jitu likibanwa,,iwe penalty ama goli la offside,,bila ivyo mangungu ataambiwa hafai,,,
 
Ubaya Ubwela.

Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?

Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.

Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
Njoo kule kwangu kumechangamka.
Au ngoja Cookie akulete
 
Tiyali penalty ya mchongo ishatolewa,,mchezaji akuguswa but limetengwa tuta🤣🤣
 
Ubaya Ubwela.

Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC

Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?

Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.

Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD
2 bila huko mpk mda huu
 
Back
Top Bottom