Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,488
- 3,809
Ubaya Ubwela.
Tabora United wakiwa dimba la nyumbani la kumbukumbu ya Ali Hassan Mwinyi watawaalika Simba katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC
Ikumbukwe katkla mchezo wa kwanza Simba alimkung’uta Tabora 3-0, je Tabora watalipa kisasi?
Tabora United wamehaidiwa Milioni 50 endapo watamfunga Mnyama.
Mechi ni saa 10:00 jioni kupitia Azam Sports 1HD