changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,047
- 10,153
Wanalalamika kuhusu niniWamekata baada ya kuona comments za malalamiko ni nyingi
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wanalalamika kuhusu niniWamekata baada ya kuona comments za malalamiko ni nyingi
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
u mbumbumbu ni geneticNdio sababu somo la hesabu limewashinda wengi, huoni aibu?
Achana na mimi bro. Tazama pira linavyotembea hukoNdio sababu somo la hesabu limewashinda wengi, huoni aibu?
Mkuu link nisaidieAchana na mimi bro. Tazama pira linavyotembea huko
Weka kikosi cha Warusi hapa, maana wapo wengi sana, ni lazima tujuwe mnacheza na kikosi kipi?Achana na mimi bro. Tazama pira linavyotembea huko
Nikuwekee kama naniWeka kikosi cha Warusi hapa, maana wapo wengi sana, ni lazima tujuwe mnacheza na kikosi kipi?
Utopolo na visingizio Kama kawaNi kweli ila je Wachezaji waliyoifunga Real madrid goli 3 una uhakika ndio hao waliopangwa leo?
Baada ya zile goli mbili si ulidai kuwa tunapigwa nyingi, imekuwaje tena umeanza kuwa na wasiwasi?Weka kikosi cha Warusi hapa, maana wapo wengi sana, ni lazima tujuwe mnacheza na kikosi kipi?
Kweli Ruge alisema ogopa Mungu na teknolojia, haya ndio Simba hawakutaka wayajuwe Watanzania.
Tayari 2 bila.
Anatafuta sababu huyo. Kichaka cha kujifichiaNikuwekee kama nani