Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,048
- 2,535
Salaam wakuu.
Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya.
Simba wanaenda kwenye mchezo huu wakiwa nafasi ya pili na alama 15 baada ya kucheza michezo 5 akishinda yote huku wakifunga mabao 14 na kuruhusu mabao 4.
wakati huohuo IHEFU wapo nafasi ya 11 wakiwa na alama 7 baada ya kucheza michezo 6 wakiwa wameshinda michezo 2 sare 1 na kupoteza 3 huku wakiwa wamefunga mabao 3 na kuruhusu mabao 5.
Mchezo huu utakuwa mubashara hapa jamii forum.
Kwa uchambuzi, vikosi na usimulizi wa mchezo huu wa kukata na mundu basi kuwa karibu na uzi huu.