FT: Kaizer Chiefs FC 0- 4 Young African SC | Toyota Cup | Free State Stadium, Bloemfontein | 28.07.2024

Hii habari sijaifurahia!
Hajimanara sijawahi kumkubali hafai hana nidhamu matusi na kejeli zimemjaa
Alikamwe ni mtu na nusu anaweza kutuchangamsha
Nashukuru umenisemea!
Haji ni mnafiki fulani hivi sijawahi kumkubali halafu hajatulia..
Kwakweli mimi napenda wa Hulka ya Antonio /Ally Kamwe watu kama wametulia hivi wakitoa taarifa zinaeleweka... Unajua hata Ahmed Ally ana utani mwingi ila akiongea taarifa yake unaielewa haswa anaichambua.

Haji kwakweli hapana huwa simuelewagi kakaa kimhemko! Hii taarifa imeniharibia ushindi wetu wote
 
Wametukosea sana wananchi
 
I love you tuko pamoja jitu linaropoka tu
 
Yanga wasifanye kosa kubwa hivyo kumpa Haji Manara usemaji wa Yanga, ni kosa kubwa sanaaaaaa, Haji ni mpuuzi, hana heshima wala adabu wala nidhamu wala kujijua hajijui, itoshe kusema anakera na kuudhi umma wa mashabiki hasa wa Yanga, pia ki maadili tu ya maisha yake ni mchafu chafu sana, hana ethics kabisa, narudia Yanga wasifanye kosa kubwa hivyo…!!! Haji pia ni mtu wa maslahi binafsi, mpigaji hana historia nzuri, haaminiki kabisa..!!
 
Mdakuzi Bado unaendelea kuongea? Huogopi b...?
Jamani, tunaanza kushindana kwa pre-seoson tu? Mbona mna haraka hivi b...? Hii hali inanishangaza kwa kweli. Au ni ugeni wa mambo?

Ama mnauogopa msimu huu ndiyo mnataka muwe mshasheherekea kabisa kabla mambo hayajawa mabaya huko mbele ya safari?

Haya gongereni kwa ushindi wa mechi ya pre-season.

Ova
 
Sasa kuifunga Kaizer chiefs ni kitu ya kututambia....?

Na hapo mjue mmecheza na timu B.
20240729_051332.jpg
 
Tarehe 8 mwezi ujao kuna watu hawataleta timu uwanjani, na wakileta wanakula 7 . Price Dube namtabiria "Hat trick" siku hiyo. Aziz Ki 2, Chama 1, Baleke 1.

Niko paleeeee mtaniambia 😛😛😛

GENTAMYCINE
Mshana Jr
 
Nashukuru umenisemea!
Haji ni mnafiki fulani hivi sijawahi kumkubali halafu hajatulia..
Kwakweli mimi napenda wa Hulka ya Antonio /Ally Kamwe watu kama wametulia hivi wakitoa taarifa zinaeleweka... Unajua hata Ahmed Ally ana utani mwingi ila akiongea taarifa yake unaielewa haswa anaichambua.

Haji kwakweli hapana huwa simuelewagi kakaa kimhemko! Hii taarifa imeniharibia ushindi wetu wote

Wametukosea sana wananchi

I love you tuko pamoja jitu linaropoka tu

Mnooo

Yani mm kwakweli hapana
Kwenye hizo mambo tushatokaga huko sasa hivi watu wanafanya kazi kisomi zaidi

Tumpe muda! Ule mdomo wake lazima ataboronga atatimuliwa mchana kweupee

Yanga wasifanye kosa kubwa hivyo kumpa Haji Manara usemaji wa Yanga, ni kosa kubwa sanaaaaaa, Haji ni mpuuzi, hana heshima wala adabu wala nidhamu wala kujijua hajijui, itoshe kusema anakera na kuudhi umma wa mashabiki hasa wa Yanga, pia ki maadili tu ya maisha yake ni mchafu chafu sana, hana ethics kabisa, narudia Yanga wasifanye kosa kubwa hivyo…!!! Haji pia ni mtu wa maslahi binafsi, mpigaji hana historia nzuri, haaminiki kabisa..!!
Hatumtaakiii fullstop.
 
Back
Top Bottom