Friji inauzwa

Hiyo fridge hata kwa matumizi ya choosing haifai ,kama ni chafu namna hiyo itakosa chawa kweli,ww utakuwa NA hali gani kiafya au VIROBA
 
Mkuu itoe hiyo picha alafu lioshe kwakutumia jk then pigs picha tena uiweke.
 
Hahahaaa huoni aibu kuuza fridge chafu hivyo . Huko kwenu hakuna Maji hata ulioshe kwanza . Maajabu haya
 
Friji ipo pande mbili,upande wa freezer mzima,upande wa friji wa kutengeneza,bei 140,000 zote mbili
e3054d8713e23f21c75559b6eebe6248.jpg
1dcba6ecde6145ba6a5f88a4803719b2.jpg
alie serious ani pm...frij ipo mbez mwisho..
Ni kwa ajili ya scraper mkuu au tuanzie hapo kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom