kilwakivinje JF-Expert Member Jan 4, 2014 6,183 9,405 Mar 7, 2017 #23 Mkuu umetunga hadithi nzuri sana
zulushaka JF-Expert Member Feb 5, 2017 372 299 Mar 8, 2017 #24 kilwakivinje said: Mkuu umetunga hadithi nzuri sana Click to expand... Hakuna utunzi hapo, JE wewe unao ukweli utupatie?? Kuna mengi sana juu ya hawa watu, nikipata muda nitakupa darasa japo KWA uchache labda unaweza ukapata ka mwanga Fulani.
kilwakivinje said: Mkuu umetunga hadithi nzuri sana Click to expand... Hakuna utunzi hapo, JE wewe unao ukweli utupatie?? Kuna mengi sana juu ya hawa watu, nikipata muda nitakupa darasa japo KWA uchache labda unaweza ukapata ka mwanga Fulani.
kauzu12 JF-Expert Member Nov 11, 2016 868 783 Mar 8, 2017 #25 Mtoa mada wengi watakupinga lakini ndio ukweli huo. Asante sana mkuu ubalikiwe.
Lusematic JF-Expert Member Feb 2, 2017 12,038 11,821 Mar 8, 2017 #26 kirusi cha ukimwi said: Kama nahisi kuna ka ukweli hapa Click to expand... huo ndyo ukwel vyote vishaandikwa..
kirusi cha ukimwi said: Kama nahisi kuna ka ukweli hapa Click to expand... huo ndyo ukwel vyote vishaandikwa..
StraTon MemPhis GhaZar JF-Expert Member Nov 10, 2016 592 387 Mar 8, 2017 #28 Kazi kweli kweli.... tutanyooka tu
D Dididi Member Feb 22, 2017 6 1 Mar 13, 2017 #29 Ninachokiona hapa ni mapambano kati ya wakatoliki na wasabato, lakini hawa wote wanaamini katika Msalaba
Ninachokiona hapa ni mapambano kati ya wakatoliki na wasabato, lakini hawa wote wanaamini katika Msalaba