Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,561
- 47,224
Kazi yangu ni kuwanyoosha makambale kama wewe, mpaka mnyooke mwaka huu..Umemsahau wewe tu ambaye hata huna faida yoyote kwa taifa,lkn kamuulize rais wako atakwambia umuhimu wa mbowe
Kazi yangu ni kuwanyoosha makambale kama wewe, mpaka mnyooke mwaka huu..Umemsahau wewe tu ambaye hata huna faida yoyote kwa taifa,lkn kamuulize rais wako atakwambia umuhimu wa mbowe
Naona stroke ishapanda hadi kwenye ubongoKazi yangu ni kuwanyoosha makambale kama wewe, mpaka mnyooke mwaka huu..
miradi ya siasaHUO UDAKTAR FREMAN MBOWE KAPEWA NA NAN?? NA NI COMRADE WA KITU GAN MKUU..
Usiishi kwa mazoeaAcha kudanganya Dunia.
Ni Tanzania pekee hata ukipata zero utaitwa DrWasalaamu humu jukwaani
Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.
Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma
Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti
Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi
Ni mimi mtanzania mzalendo
Elimu sio propaganda, Achen uongoUsiishi kwa mazoea
Elimu sio propaganda, Achen uongoUsiishi kwa mazoea