Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Wewe ni nani kwake?wacha kujitafutia umaarufuWasalaamu humu jukwaani
Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.
Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma
Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti
Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi
Ni mimi mtanzania mzalendo
Uzalendo gani wa kufisadi maliasili zetuWasalaamu humu jukwaani

Kawashauri lumumba jinsi ya kuimarisha chama chenu ili uchaguzi ujao muweze kulikomboa jiji la dsmIkiwa hizi habari ni za ukweli basi mimi namunga mkono . Niwakati mzuri sasa aziendeleze biashara zake, na hiyo itampaa uwezo kujijenga zaidi na kiisaidia chadema
Nimeku dharau Sana!Kama ni kweli inabidi wadau wafanye kazi ya kubadilisha uamuzi wa huyu MTOTO WA MJINI NA BINGWA WA SIASA ZA NCHI HII , huyu mtu ni noma ! mkiruhusu aondoke ulingoni mmekwisha , Mbowe amesababisha visukari na presha za watu zipande kwa miezi 6 sasa , shukrani za pekee zimwendee Damiani Lubuva .
Mkuu umeniweka kundi ambalo sistahiliUzalendo gani wa kufisadi maliasili zetu
Tetesi in aweza kuwa kweli au laaIkiwa hizi habari ni za ukweli basi mimi namunga mkono . Niwakati mzuri sasa aziendeleze biashara zake, na hiyo itampaa uwezo kujijenga zaidi na kiisaidia chadema
Sisi bado tupo dunia ya 3Mkuu umeniweka kundi ambalo sistahili
Ndio maana nimesema tetesi
Kwa Wenzetu nchi zilizoendelea tetesi ni Moja ya Habari
Ulikimbia hesabu. Hebu rudia upyaWasalaamu humu jukwaani
Mimi sipendi sana kutundika uzi humu
Ila kwa hili Sina budi kujitokeza hadharani kutoka huku milimani na kupitia jukwaa hili kufikisha ujumbe wangu kwa Comrade Dr. Freeman mbowe.
Kutokana na tetes mbalimbali zinazopita masikion mwangu ni kuwa Dr. Freeman mbowe amepanga kustaafu kutoka kwenye siasa za majukwaani na kupisha watu wengine, hizi tetes kiukweli zinatukosesha Amani sisi watanzania tunaopenda maendeleo ya nchi yetu.
Nia yetu ni kukuomba Dr Freeman mbowe ugombee uenyekiti wa Chama tena Kwan bado una millage ya kuona mbali... Chini ya mikono yako Chadema imekuwa kwa 85% bado tunahitaji hizo 25% kutoka kwako ndio tutakuruhusu upumzike tukiwa Tayari tumeshatimiza malengo yetu
Kukuomba ugombee haimanishi kuwa hakuna mwenye sifa ya kugombea la hasha wapo wengi kina kamanda Lissu, Kamanda mnyika, kamanda sugu, kamanda halima mdee, kamanda mwalimu na wengine wengi ila kwa Kuwa wewe bado uko Safi tunakuomba uendelee kupambana ili tufike kule tunakokusudia, tumetoka mbali naamin tutafika salama japo tumeumia sana kuna ndugu zetu waliotangulia mbele ya haki kwa kuipigania taasisi hii muhimu kwetu wa Tanzania, tena wengine wamedhulumiwa uhai wao na watawala wasiopenda ukwel Lakin damu Yao ndio ujasiri wetu.. Nakumbuka hata wewe walikukosa risasi pale nmc ila hukurud nyuma
Kazi yako tunaitambua Mr. Chairman wengine hawawez kuelezea uhodari wako wanasubiri hadi ufe ndio waje wakupigie saluti
Mungu akulinde Dr mbowe jujawahi kuwa mnafik wala mwongo wa nafs yako juu ya dhamira ya kuikomboa Tanzania kutoka kwenye makucha ya mafisad papa yasiojali wananchi
Ni mimi mtanzania mzalendo
watu gani chadema hamusomi maandishi ukutani. mbowe alishauza chama kwa hivyo lazima awaachie wenyewe.Wasalaamu humu jukwaani

Wasalaamu humu jukwaani