Freeman Mbowe na Viongozi wa Juu wa CHADEMA kushiriki mazisha ya Mama yake JK (Bi Nuru)leo Bagamoyo

Leo inasikilizwa kesi namba 9 ya Kikatiba niliyoifungua dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro, na ZCO Wambura, itaanza kusikilizwa saa 7 mchana Mahakama Kuu ya Dar es salaam leo Jumatano 08/03/2017.

Baada ya kesi Mahakamani, nikiambatana na Viongozi wengine wa Chama tutakwenda kushiriki mazishi ya Mama yake Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Bi. Nuru Khalfani Shomvi, huko Bagamoyo.


49 Comments
8 Shares
Hawa jamaa ni wanafiki sana aisee!
 
Hawa ndio wanasiasa wakomavu na wakongwe wa siasa waliobaki tanzania kwa sasa.
1.Lowassa
2.Jakaya
3.Kingunge
Na kwa kudhibitisha uwezo huo wa juu wa kisiasa leo Lowassa na Kingunge watahudhuria mazishi ya mama jakaya huko bagamoyo.Tegeni kamera zenu!
Kuhudhuria mazishi ni ukomavu wa kisiasa ? Nijuavyo mimi msiba hauna chama
 
Nilisikitika sana, wakati Bibi yetu akiwa Hospitali Muhimbili, Baba alikuwa Nje ya nchi huku Mkwe wake akichanja mbuga huko Southern zone akimsindikiza aliyempa hadhi ya kuingia mjengoni!!.
R.I.P mlezi
 
17190752_676631662543911_3927758011988393827_n.jpg


Hawa leo lazima wamwamkie SHIKAMOO mheshimiwa sana baba yetu KIKWETE
 
Back
Top Bottom