Bado tuna safari ndefuRais angetoa maneno ya busara kwa wafiwa Mbowe asingekuwa na cha kusema.
Siku nyingine husiwe msaaurifu ...Mbowe kama Mwenyekiti wa CDM walitoa chakula na maturubai na cement ambayo ccm iliin'gan'gania kua itunzwe na RC na michango mingine ianze kupitia kwa RC kumbe ilikua ni kuwapiga cha juu wafiwa wa Kagera. Hivi serikali na Pombe alitoa kitu au yeye kala tuYeye na chama chake wamechukua hatua gani?Sukuwasikia hata michango ya chadema ikiwasilishwa.....this is bullshit.Kutafuta kiki kwenye hotuba ya Raisi hakuna maana yoyote.Yeye angechukua hatua ya kwenda kuwafariji na kuwajengea anachoweza ndio aje kupiga kelele....Mbowe hana nyimbo tena.Chama chake si kina ruzuku kubwa tu ....mbona hawajajenga hata nyumba moja....Je si wana mishahara wangejichanga tu kwa vile wana uchungu mkubwa zaidi kuliko Raisi.Otherwise pye pye pye hazina maana
Sasa ndio mmeanza kupata akili kuwa cdm ingejitolea kufanya hiki na mile kagera.Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.
Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Suggest action please!Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!
Kwahiyo kula rambi rambi ni halaliSIKU HIZI AITISHI PRESS CONFERENCE??????hii kauli yake juu ya JPM alitamkia wapi???? Me nahisi aliitamkia UVUNGUNI mwa kitanda MAANA tunamtafuta kweli atuambie BEN yupo wapi?????hivyo moja kwa moja HAWEZI KAMWE ITISHA press conference kwa sasa ATAKUWA anatolea MATAMKO toka UVUNGUNI......daaah aiseeh hii si CHADEMA tuliokuwa tunaifahamu.....JPM wewe balaaa NA KWA SASA NA BAADAE MBOWE HANA UHALALI WOTE WA KUMKOSOA MAGUFULI maana yeye kaishajionyesha rangi yake HALISI kupitia UTAWALA HUU....
Good adviseMbowe awaombe upya watanzania,wachangie bati hata katika hali hii ambayo jahazi la tanga haliwezi kwenda kwa kukosa upepo,maana tayari Bukoba ni kambi ya UKAWA.
Walipeleka kwenye kamati ya maafa wakakataliwa?Kabla ya kutoa komenti wasiliana na kumbukumbu ya ubongo wako, hukusikia serikali imepiga marufuku chama chochote wala mtu yeyote kupeleka misaada, hivi yale mahema ya Lwakatare yaliyokusanywa na polisi yalitoka Lumumba.
Sasa ndio mmeanza kupata akili kuwa cdm ingejitolea kufanya hiki na mile kagera.Hivi hawa chadema hawana hela, wanachama na hawajuani na watu ambao wangeweza kuwasaidia kuwajengea wananchi. Janga kamanhili wangelitumia kama uwanja wa kujiimarisha kisiasa kwa kuwasaidia wananchi baada ya kufokewa na Rais na kupoteza matumaini ya kusaidiwa na serikali.
Wangeanza hata na nyumba chache na kuzifikisha hatua nzuri nadhani wangejijengea heshima, huku kuongea kwenye vyombo vya habari kupinga kila kitu kinachosemwa ama kufanywa na serikali hakuna chochote kinachosaidia, tumeshachoka saxa tunataka kuona upinzani wenye meno. Upinzani unaoweza kuiwajibisha serikali pale inapokosea kwa vitendo.
Si mlichukua zote za mmezipiga juukwajuu.Walipeleka kwenye kamati ya maafa wakakataliwa?
Mada ni kauli chafu na zakishetani alizotoa Mwenyekiti kule Kagera..kama vipi anzisha mada ya Mwigulu amlete Ben akiwa haiMbowe ulisema kuna watekaji wamemteka Ben ..je ulijuaje?
Ni lini utamrejesha Ben kwa mwanae amemiss?
Alipiga simu ofisini kwa gazeti lake ndio wakaandika hayo.SIKU HIZI AITISHI PRESS CONFERENCE??????hii kauli yake juu ya JPM alitamkia wapi???? Me nahisi aliitamkia UVUNGUNI mwa kitanda MAANA tunamtafuta kweli atuambie BEN yupo wapi?????hivyo moja kwa moja HAWEZI KAMWE ITISHA press conference kwa sasa ATAKUWA anatolea MATAMKO toka UVUNGUNI......daaah aiseeh hii si CHADEMA tuliokuwa tunaifahamu.....JPM wewe balaaa NA KWA SASA NA BAADAE MBOWE HANA UHALALI WOTE WA KUMKOSOA MAGUFULI maana yeye kaishajionyesha rangi yake HALISI kupitia UTAWALA HUU....
Kwani rais kakosea nini kwenye kauli yake? Mlitaka alaghai kwa kitu hakitawezekana kama ilivyozoeleka kufanywa na wanasiasa? Au ulitaka aongee kwa kulialia na kuomba msamaha kama tetemeko ni kosa la serekali yake. JK alisema angewajengea nyumba wahanga wa mafuriko kilosa hadi leo wako kwenye mahema. Hata kama jk angewajengea angejenga nyumba za aina gani na za gharama gani. The so called Nyumba nyingi ni mabanda ya udongo vijijini wala hayana hati ya ardhi. Je unataka watu waanze kuomba maafa ili wajengewe nyumba na serikali? Hapo ni kutaka kufungua a new pandora box. Jawabu ni kuwapa misaada ya dharura na kuwasaidia wasiojiweza kwa kuwapatia msaada zaidi kama ilivyofanyika.Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!
mawazo yako tafadhali:Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!
Hiyo kamati ya wapiga dili nani aiamini, wamekula rambirambi za wahanga, michango wamejengea shule za CCM eti TETEMEKO ACCOUNT dah Chadema waliona mbali sana.Walipeleka kwenye kamati ya maafa wakakataliwa?
Ungekuwa ndiyo ww ungefanyaje????Mbowe sasa kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani TZ anafanya nn kusimamisha hotuba hizi za kipuuzi za Rais?
Mbona hachukua hatua yyt ile na yy analalamika kama sisi tu?
Magufuli anatakiwa ajutie kauli hizi lkn zinapita kimywa kimywa
CHADEMA imekufa aisee!