Freeman Mbowe, halipwi mshahara wowote na chama wala posho

Yaani sijui mbowe anatumia madawa gani kutupumbaza pamoja na ujanja ujanja wake lakini tupo kama nyumbu ,ata akinye ,tutasema hayo ni manukato
Hehehe Mkuu hapa nimekumbuka ule msemo Mavi ya mzugu hayanuki.
 
Huyo afisa habari wa CDM kama kweli ndiye katoa habari hiyo ana kichaa cha mbwa. Anahitaji sindano za kwenye kitofu. posho za kipindi cha kampeni alitoa kwenye mfuko wake?? Basi anaimiliki CHADEMA kwa hisa, itakapopata faida atalipwa dividends.
 
Tehe tehe teheeeeee, yaani anafanya kazi ya ukweli, mnatufanya sie mazoba na ili b 10 ya kuuza chama kwa mafisadi kule si ndio kujilipa kwenye?
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama, Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
: Tumaini Makene
nadhani umeficha mengi sana ambayo bwana Mbowe huwa anafaidika nayo ndani ya chama. machoni tunasema halipwi lakini behind the scene ni pesa ngapi ambazo chama kinapokea lakini hatuambiwi matumizi yake. ? hatujui kiasi gani kinapatikana na kinatumikaje. pesa za wafadhili ,michango kutoka wanachama mamilioni kwa mamilioni. pesa za ruzuku wapi zinatumika. tunapigwa changa la macho kwa kujidai halipwi lakini anajua mwenyewe jinsi anavyojilipa.
biashara nyingi za chama ana fursa nazo na labda anatoza riba akitoa pesa yake mfukoni. hatujui hesabu yoyote ya mapato na matumiz
 
Of course, hii habari itapingwa kimantiki...Leteni matumizi ya chama na vouchers za waliosaini kuchukua fedha kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Hivi kama wewe una kampuni kwani ni lazima ujilipe mshahara? Lakini hii haimananishi kwamba hutumii fedha za kampuni hiyo.
Waongo hupenda kutunia kipengere kimoja tuu mbona hawazngumzii gharama na matumizi ya zafari za mbowe zinalipwa na nani?
CHADEMA wajitahidi kutoa habari zenye mantiki. Hivi inaingia akilini kwamba Freeman Mbowe tangu ajiunge na CHADEMA miaka ishirini yote amekuwa anajitolea? Kwamba hata posho ya kununua maji ya kunywa hajawahi kulipwa na Chama chake kwa miaka yote 20?

Halafu wanasema hata viongozi wengine nao hawalipwi chochote kwa miaka yote hiyo? Sasa kama ndivyo hela za CHADEMA zinafanya kazi gani maana hata jengo la ofisi hakuna!
 
hakuna tofauti ya chadema na ccm mavyama ya wezi tu yanaliangamiza taifa eee mungu jalia mavyama haya yafe
 
Baada ya wengi sana jana kuhoji mshahara wa mwenyekiti wa chadema .mh freeman mbowe kufuati mh rais kutaja mshara wake. HILI NDIO JIBU LAKE

Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe halipwi mshahara wowote na Chama. Amekitumikia Chama kwa kujitolea kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Mjumbe wa Kamati Kuu tangu aliposhiriki kuasisi Chama 1992, Mwenyekiti wa Vijana Taifa na baadaye Mwenyekiti wa Taifa kuanzia mwaka 2004.
Mbali na mshahara, Mbowe halipwi posho wala stahiki ya aina yeyote kama gari, nyumba, mawasiliano n.k na Chama. Utendaji wake ndani ya Chama ni wa kujitolea na kutoa.

Utamaduni huu umejengwa na viongozi wengi ndani ya Chadema kuanzia ngazi ya juu hadi chini.

Wanaolipwa posho ni watendaji wachache wanaofanya kazi full time katika ngazi ya Taifa na Kanda. Wabunge na madiwani wote walio na wadhifa wowote ndani ya Chama au katika Mabaraza yake nao hujitolea kwa asilimia 100 kwa kila namna watendapo majukumu yao ndani ya Chama. Hawapokei mishahara wala posho mbili mbili.

Hivyo Mbowe na viongozi wenzake wengi wa ngazi mbalimbali hawalipwi na Chama bali wao hukigharamia Chama kiweze kukua na kutekeleza majukumu yake kadiri iwezekanavyo.

Chanzo : Afisa habari Chadema
: Tumaini Makene
Anatumia asilimia ngapi ya marupurupu yake ya ubunge kuimarisha chama?
AU UBUNGE WAKE HAUKIHUSU CHAMA?
 
Hahahaaa,,huu ni UJUHA ulikubuhu.
Kipindi katibu wetu Dr Slaa alipotangaza kuachia ngazi na kutoa hoja mbalimbali za juu ya kupokelewa Mh. Lowassa ndani ya CDM,,Tundu Lissu alikuja juu na kumponda Dr Slaa pia akisema kama kajiuzulu kweli kwanini bado anapokea MSHAHARA wa ukatibu???

Sasa swali la kujiuliza ni MSHAHARA upi mwanasheria wetu Lissu aliumaanisha ikiwa leo afisa habari wetu anasema ndani ya chama hakuna anaelipwa MSHAHARA kwamba viongozi wote
wanajitolea???
Tumuamini nani sasa,,LISSU au MAKENE??

Hii ni aibu, tusikurupuke jamani tunajianika vibaya, ikiwa taasisi yetu tu hivi tunawekana uchi vipi kama tukikabidhiwa nchi???

Am out!!
 
tangu dunia kuumbwa nadhani mbowe ndio atakua ni mchaga wa kwanza kufanyakazi kwa kujitolea kwa miaka hiyo 20....

lakini jambo hili kama ni kweli kwa mchaga huyu kujitolea kwa miaka hiyo yote 20 basi sasa naanza kuamini kuwa zile dalili za kiama zimetimia
 
Unajua hao wanaokoment kuhusu chadema ni aibu kwao , CCM haiwezi kufanya hivyo habadani wangojee kutumbuliwa na mwenzao ndomana wanaitwa majipu, hata hapa usemenn watapinga na kutoa takwimu za kufikilika tu, la hutaki kaakimya, mmezoea wizi huyo mliyempigania sasa anawaumbua mnabisha?
 
Back
Top Bottom