Frederick Sumaye ajiuzulu Ujumbe wa Bodi ya CRDB

CRDB sasa hali si shwari sasa anaogopa kuoneka amekuwa sehemu ya kufeli kwa hiyo bank. Kisiasa huo ni uhamuzi mzuri sana kwake.
 
Inashangaza na inasikitisha kuona aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania kwa miaka 10 anakuwa mbeba mabegi wa aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania kwa miaka miwili na nusu.

Kweli siasa hazina logic tunduizi!
Mbona hushangai aliyekuwa na mpenzi wa mkeo kwa miaka kibao hakuoa ukaja kumchukua wewe mliyekutana muda mfupi halafu sijui kama unajua bado wanaendelea
 
Kuna siku nilimwona Mzee Zero naye anamponda Bashite , kweli ndio nikatambua binadamu hajijui mwenyewe !
 
Hivi amejiuzulu au kafukuzwa?? Maana nimeona heading kwenye gazeti LA nipashe Sumaye anasema nimejiuzulu kwa sababu serikali inanifuatafuata!!
 
Back
Top Bottom