Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

kuzaa wote watoto wa tano.

huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia
Sijaelewa kitu hapa..
Kwamba diva kazaa na fred watoto watano?

Sasa hao wanaume wengine walikua wanamtia lini au ni hukohuko katikati ya hao watoto watano?

Manake watoto watano tunazungumzia mahusiano ya miaka 10+
 
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.

Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.

Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel

Chanzo Taarifa: manaratv

Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la ziada.
Weka picha.

Kwanza unamzunguzia Fred au demu wake?
 
Sijaelewa kitu hapa..
Kwamba diva kazaa na fred watoto watano?

Sasa hao wanaume wengine walikua wanamtia lini au ni hukohuko katikati ya hao watoto watano?

Manake watoto watano tunazungumzia mahusiano ya miaka 10+
Eti, hiyo picha iko wapi ya kuzaa nae watoto watano?
 
Aunt Jojo alijichanganya kwa huyu kiumbe eti hadi kuzaa nae🙄🙄
Mungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.

Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.

Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.

Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
 
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.

Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.

Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel

Chanzo Taarifa: manaratv

Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la ziada.
Nilidhani mjanja kuwazidi wakinga wanzake, lkn kwa hili aisee amedhihirisha mjini bado sana, watoto wakali wamejaa ameendaje ku fall kwa lile gumegume....? Dunia haiishi maajabu!
 
Mungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.

Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.

Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.

Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
Ningekuwa yeye ningeenda na wewe kuliko huko kuaibishwa na kukataliwa hadharani, au ana shida kunako maana hao uliotaja ni km wamemkwepa kinamna flani
 
Kuta zinaficha mengi na haiba ya nje inaweza kukinzana na yaliyo ndani.

Kwa hali ya kawaida alipaswa kuwa dream woman wa wengi, ila cha ajabu mahusiano yake huwa yanaishia kuachwa kimya kimya na wahusika kubaki na jibu la 'no comment'.

Anyways subiri nitupiemo karata zangu, nikifanikiwa nitaleta mrejesho wa yaliyomo kama yamo.
 
Mungu hakupi vyote na moja alilonyimwa Bi. Kidoti ni busara ya kuchagua wanaume.

Alisha date na Diamond ambapo aliishia kudhalilishwa, alidate na Kiba napo aliishia kuaibishwa mitandaoni tu kuwa anajipendekeza, akaenda kwa Mkinga misifa napo zero.

Kwa level aliyofikia inabidi atafute mtu mzima mwenye pesa zake asiekuwa na maisha ya social media, sio hawa wauza sura.

Mimi ningemfaa sana maana nimekidhi vigezo vyote isipokuwa cha pesa. Na nipo tayari tutumie za kwake😜😜, mimi ni kumpenda tu.
Shindwaaa pepo la umarioo
 
Kuta zinaficha mengi na haiba ya nje inaweza kukinzana na yaliyo ndani.

Kwa hali ya kawaida alipaswa kuwa dream woman wa wengi, ila cha ajabu mahusiano yake huwa yanaishia kuachwa kimya kimya na wahusika kubaki na jibu la 'no comment'.

Anyways subiri nitupiemo karata zangu, nikifanikiwa nitaleta mrejesho wa yaliyomo kama yamo.
Wanasiasa watakuwa wanamgawana tu huko hatakuona usisumbuke
 
Back
Top Bottom