Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,221
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.

Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.

Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel

Chanzo Taarifa: manaratv

Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la ziada.
 
@divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano.

Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa.

Ameyazungumza haya wakati anatambulishwa kuwa balozi mpya wa #LuhaTravel

Chanzo Taarifa: manaratv

Manake kwa jinsi alivyokusifia huku akiwaponda Wanaume zake wote wasio na Idadi waliomtia nahisi kuna la zia weda.
Huyu binti ni mjasiria Kei hana lolote.
Palipo na pesa ndipo mapenzi yake yalipo.
Hata wewe GENTAMYCINE nichange utaitwa majina yote
 
Japo jamaa mluga mluga kitabia ila nilikuwa namuona mjanja kwa mbali hasa alipozaa na Jokate.

Sasa kutoka kwa Jokate mpaka Diva si sawa na kudowngrade kutoka S24 ultra mpaka itel.

Kama ni kweli mwamba kachemka. Japo li Diva sio la kuamini sana, maana huwa ni li mwezi mchanga, lina bipolar

Demu anajiedit kwenye picha kiasi kwamba hajui sura yake halisi inafananaje.
1728067449202.jpeg
 
Back
Top Bottom