kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Comment yako ni ipi? Maana hapo umetoa taarifa tuWasalaam wana jamvi.
Kwenye mkutano kati ya RC Makonda na waandishi wa habari aliulizwa swali kama ni kweli Majizzo(C.E.O wa E-FM/TV-E)? Mh Makonda alijibu ni kweli anashikiliwa kwa mahojiano.
Taarifa ni kwamba Dj Majizzo alikamatwa juzi nyumbani kwake na kupekwa kituo cha kati kwa mahojiano.
Kwa wale wasio mfahamu vyema Majizzo ni yule kijana anaye semekana ndiye mmiliki wa kituo cha radio cha E-FM/ na TV-E(habari zisizo rasmi)